
Recent posts

1 March 2025, 9:42 am
Kyerwa yajivunia ongezeko la sekondari za kidato cha tano na sita
Ofisi za uthibiti ubora wa elimu katika halmashauri za wilaya mkoani Kagera zimeendelea na ufuatiliaji wa miradi ya elimu na kuishukuru serikali kwa jinsi inavyoendelea kusajili na kusimamia shule za msingi na sekondari Na Ezra Lugakila Afisa uthibiti ubora wa…

24 February 2025, 7:04 pm
Buhaya Tegeka watoa shilingi milioni 1.5 kwa watoto Missenyi
Kikundi cha mtandao wa WhatsApp kijulikanacho kama Buhaya Tegeka wilayani Missenyi mkoani Kagera kimetoa mfano wa kunufaisha jamii kuliko kujinufaisha chenyewe kwa kuchangia vitu kadhaa vya mahitaji ya watoto Na, Respicius John, Missenyi-Kagera Kikundi cha mtandao wa Whatsapp cha Buhaya…

18 February 2025, 8:06 pm
Vibanda 10 vya wafanyabiashara vyateketea kwa moto Bunazi Missenyi
Wafanyabiashara na wajasiriamali nchini wameendelea kukumbwa na hasara za mara kwa mara kutokana na moto unaoripuka katika maeneo yao ya kazi kutokana na uhaba wa miundombinu rafiki ya uzimaji moto pindi unapotokea Na Respicius John Wafanyabiashara katika mji mdogo wa…

17 February 2025, 7:44 am
Wazazi wa watoto ambao hawajaripoti shule kusakwa Karagwe
Na: Jovinus Ezekiel Uongozi wa kata ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera umeazimia kuanza kutekeleza mpango wa kuwasaka wazazi na walezi ambao watoto wao hawajaripoti shuleni tangu shule zifunguliwe katika kipindi cha mwezi Januari mwaka huu. Akizungumza katika mkutano wa…

9 February 2025, 6:09 pm
CHADEMA Bukoba mjini walionya jeshi la polisi kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA jimbo la Bukoba mjini kimeendelea kulalamikia mwenendo wa siasa hapa nchini na mara hii wakilionya jeshi la polisi kutofanya upendeleo kwenye uchaguzi mkuu ujao Na Theophilida Felician, Bukoba Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema…

5 February 2025, 9:41 pm
Wafanyabiashara Bunazi walalamikiwa kwa uchafuzi wa mazingira
Wananchi waishio kando ya masoko na magulio nchini wamekuwa wahanga wa harufu mbaya na pengine hofu ya kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na mlundikano wa taka kando ya makazi yao Na Respicius John, Missenyi Wananchi wanaopakana na soko la…

5 February 2025, 11:48 am
CCM Kagera yaonya wanaounda makundi kabla ya uteuzi wa wagombea
katibu wa itikadi uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi mkoa wa Kagera Hamimu Mahamud,wakati akihutubia wananchi waliohudhuria sherehe ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi iliyofanyika kimkoa wilayani Missenyi.picha na Respicius John Chama cha mapinduzi CCM mkoa…

4 February 2025, 10:24 am
DC Laiser aitaka mahakama kutenda haki kwa wajane
Kumekuwa na malalamiko juu ya upatikanaji wa haki mahakamani kwa makundi mbalimbali wakiwemo wajane wanaolalamikia kunyanyasika pindi wenza wao wanapofariki dunia Na Shabani Ngarama, Karagwe Mkuu wa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Julius Laiser amewataka watendaji wa mahakama kutenda haki…

3 February 2025, 9:05 pm
CHADEMA Bukoba wadai kutowatambua viongozi serikali za mitaa
Baada ya mchakato wa uchaguzi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ngazi ya taifa kukamilika na Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti, chama hicho kimeendelea na kazi ya kusimamia nidhamu ya wanachama mikoani na wilayani Na Theophilida Felician, Bukoba…

1 February 2025, 10:41 am
Maafisa elimu kata wakalia kuti kavu wanafunzi kutoripoti shuleni Karagwe
Mkuu wa wilaya ya Karagwe Julius Laiser (aliyesimama). Picha na Jovinus Ezekiel Suala la wanafunzi wa madarasa ya awali, msingi na sekondari kutoripoti shuleni kwa wakati ni changamoto inayojirudia kila mwaka wilayani Karagwe licha ya juhudi na maarifa ya viongozi…