Recent posts
30 August 2024, 5:48 pm
Bodaboda watakiwa kujisajili Zanzibar
Na Ester Joshua Makamo Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Bodaboda Hussein Abushiri Hussein amewataka madereva wa bodaboda na bajaji kujisajili katika umoja huo ili kupunguza uhalifu unaojitokeza kwa madereva na abiria. Akizungumza na Zenj FM huko ofisi ya umoja huo huko…
30 August 2024, 4:58 pm
Watembeza wageni Zanzibar wapewa elimu ya homa ya nyani
Na Mary Julius Wananchi wanaojishughulisha na utoaji wa huduma kwa wageni wanaoingia nchini wametakiwa kuchukua tahadhari katika kujikinga na maradhi ya homa ya nyani ambayo imekuwa ikiripotiwa visa vya wagonjwa katika nchi mbalimbali za jirani na Tanzania. Akizungumza na wananchi…
28 August 2024, 4:53 pm
Jamii Zanzibar yashauriwa kula vyakula vya asili
Na Mary Julius Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Muhammed Mahmoud amesema jamii inapaswa kurudi katika zama za nyuma kwa kutumia vyakula vya asili ambavyo vina uwezo wa kuimarisha miili kwa kuwa na afya bora na kutotumia vyakula vya…
26 August 2024, 6:16 pm
SMZ kulisaidia Jeshi la Polisi kukabiliana na uhalifu
OMar Hassan. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Hamza Hassan Juma amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar italipa nguvu Jeshi la Polisi ili liweze kufanya kazi ya kulinda maisha ya watu…
26 August 2024, 5:12 pm
Wananchi Uroa waalaani kuhamishwa makaburi
Eneo hilo la kuzikia kwa wananchi wa kijiji cha Uroa lilikua na mgogoro kwa muda mrefu na mahakama ikatoa uamuzi 20/08/2008 kuwa eneo hilo lisihusishwe na shunguli yoyote iwe ya ujenzi wa mazishi hadi itakapofika miaka 40 ambapo katika eneo…
25 August 2024, 5:21 pm
Zanzibar watakiwa kusajili biashara BPRA
Na Thuwaiba Mohammed Wakala wa Usajili, Biashara na Mali BPRA Zanzibar imesema imeona ipo haja ya kufanya ziara ya utoaji elimu ya uelewa kwa wafanyabiashara na wajasiriamali ambao wanaendesha shughuli zao kiholela bila ya kusajiliwa na taasisi hiyo. Kauli hiyo…
22 August 2024, 6:38 pm
Masheha toeni ushirikiano kwa jeshi la polisi
Na Omar Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amewataka Masheha wa Mkoa wa Mjini Magharibi kuendelea kudumisha ushirikiano na Jeshi la Polisi ili kuzuia uhalifu katika maeneo yao. Kamishna Hamad ametoa wito huo wakati akizungumza na masheha,…
22 August 2024, 2:37 pm
Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa za kijamii zinazotolewa na polisi
Na Omar Hassan. Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar limekabidhiwa vifaa tiba pamoja na Jengo na vifaa kwa ajili ya Karakana ya Polisi Mikoa ya Pemba vyenye thamani ya T.Sh. milioni 85, kutoka kwa Jumuiya ya Korea Friend of Hope…
20 August 2024, 3:07 pm
Jamii yatakiwa kutumia vyombo vya sheria kudhibiti udhalilishaji Nungwi
Na Omar Hassan Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A, Othman Ali Maulid amewataka wananchi wa Nungwi kuacha tabia ya kusuluhisha kesi za udhalilishaji katika ngazi za familia na badala yake wazifikishe katika vyombo vya sheria ili zishughulikiwe kwa mujibu wa…
19 August 2024, 6:02 pm
Waislam watakiwa kutoa kipaumbele uhifadhi Quran kwa watoto
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Alhaj Ayoub Mohd Mahmoud (aliyevaa kanzu nyeupe) akiwa na Wajumbe wa kamati Kuu ya Jumuiya ya kuhifadhisha Qurani Zanzibar. Na Mary Julius Jumla ya wanafunzi 26 kutoka vyuo mbalimbali vya Wilaya ya Kusini kiwemo Jambiani, Bwejuu, Paje,…