Recent posts
6 December 2024, 3:25 pm
Puma Energy yafungua Kituo cha Kwanza visiwani Zanzibar
Na Berema Nassor Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaibu Hassan Kaduara amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana na wadau wa sekta mbali mbali ikiwa na lengo la kuleta mabadiliko ya maendeleo ya kiuchumi katika taifa na jamii…
5 December 2024, 5:40 pm
Kati ya baa 93, baa 33 zimefanikiwa kufunga vizuia sauti Zanzibar
Na Mary Julius. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Masoud Ali Mohammed amesema Zanzibar kuna jumla ya maeneo yanayotoa huduma ya Vileo (baa) 93 ambayo yamesajiliwa na kupewa leseni…
4 December 2024, 10:01 pm
KMKM Marumbi wakamata watu 8 wanaojihusisha na uvuvi haramu
Wilaya ya Kati. Kikosi Cha kuzuia magendo KMKM Marumbi kimefanikiwa kukamata watu 8 wanajihusiaha na uvuvi Haramu. Akithibitisha kukamata kwa watu hao Mkuu wa Kambi hiyo Luteni Kamanda Hassan Bakari Babu amesema kikosi hicho kilifanikiwa kuwakamata watu hao wakiwa katika…
4 December 2024, 9:39 pm
UWZ yawafikia watu wenye ulemavu kisiwa cha Kojani
Na Mary Julius. Mkurugenzi wa Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Zanzibar Asia Abdulsalam Hussein ameiomba jamii kuwasaidia watu wenye ulemavu, hasa wale wanaoishi katika visiwa vidogo vidogo vilivyopo Zanzibar. Mkurugenzi Asia ameyasema hayo mara baada ya ziara ya kuwatembelea watu…
4 December 2024, 8:26 pm
Kamishna wa Polisi UN Asifu Utendaji wa Polisi Kamisheni ya Zanzibar
Na Omar Hassan. Mkuu wa Polisi wa Umoja wa Mataifa Kamishna Faisal Shahkar amesema amefurahishwa na juhudi na umahiri wa Jeshi la Polisi Tanzania Kamisheni ya Zanzibar katika kuzuwia uhalifu na kuifanya Zanzibar kuwa ni sehemu salama. Akizungumza na Maafisa…
29 November 2024, 5:03 pm
Ujio wa wawekezaji toka Ubelgiji kuifungua Tanzania kiuchumi
Na Mwanamiraji Abdallah. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Sharifa Ali Shariff amesema ujio wa wawekezaji kutoka Belgium ni Juhudi za Rais wa Zanzibar na Mwenyeketi Wa Baraza La Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi na Raisi…
27 November 2024, 4:43 pm
UWT Zanzibar yawahakikishia wenye ulemavu fursa za mikopo
Na Mary Julius Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) na Makamo Mwenyekiti Wa Umoja Wa Wanawake Tazanzia Taifa UWT Zainab Shomari amesema bado makundi la watu wenye ulemavu halija faidika na mikopo imayotolewa na serikali. Makamo Mwenyekiti Zainab…
27 November 2024, 3:27 pm
Zaidi ya milioni 270 kutumika ujenzi ofisi za Jimbo Chumbuni
Na Mary Julius. Mwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Miraji Khamis Kwaza amekabidhi vifaa vya ujenzi wa jengo la ofisi za jimbo hilo vyenye thamani ya sh milioni ishirini na moja 21 ikiwa niutekelezaji wa ahadi zake. Akizungumza mara baada ya…
26 November 2024, 7:31 pm
Kashfa za maneno, vitendo zinavyotesa wanawake kuwa viongozi Zanzibar
Na Ivan Mapunda. Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaumme ni 915 ,492 na wanawake ni 974 ,281 hii inamaanisha kwamba wanawake ni asilimia 51.6 ya wakazi wote Zanzibar. Licha…
26 November 2024, 7:17 pm
Polisi Zanzibar kufanya kazi na kamati ya maadili
Na Omary Hassan. Kamishna wa Polisi Zanzibar Cp. Hamad Khamis Hamad amesema kuanzishwa kwa kamati ya Maadili na Elimu ya Afya Zanzibar kutasaidia Jeshi la Polisi katika kutoa elimu kwa wananchi katika kukabiliana na uhalifu na kuporomoka kwa maadili ya…