Recent posts
31 May 2024, 4:21 pm
Mwakilishi Chumbuni atimiza ahadi
Na Mary Julius. Shilingi milioni nane zinatarajia kutumika katika ujenzi wa mtaro wa maji machafu katika shahia ya Mwembe makumbi. Akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa vya ujenzi wa mtaro ambao umekatika na kusababisha mvua ikinyesha maji machafu kuingia katika…
31 May 2024, 2:40 pm
Jeshi la Polisi Zanzibar lajipanga fainali ya Yanga SC vs Azam FC
Na Mary Julius Fainali ya kombe la FA Tanzania Bara (CRDB Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa tarehe 02.06.2024 katika uwanja wa New Amaan Complex saa 2:15 usiku kati ya YANGA SC vs AZAM FC. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi…
30 May 2024, 6:10 pm
Jamii yahimizwa kufanya usafi ili kuepukana na maradhi ya matumbo
Na Mary Julius. Jamii imetakiwa kuendelea kudumisha suala la usafi katika maeneo yao ili kuweza kujikinga na maradhi mbali mbali pamoja na kuifanya Miji kuwa nadhifu. Hayo yameelezwa na viongozi wa afya pamoja na Wanafunzi wa ZU (Zanzibar University) wakati…
28 May 2024, 5:24 pm
Bilion tisa zinatarajia kusogeza huduma za kimahakama Pemba
Ujenzi wa kituo Cha kituo Jumuishu Cha Utoaji haki Kisiwani Pemba unajengwa kwa mkopo nafuu kutoka benki ya dunia na unatarajiwa kugahrimu zaidi ya shilingi bilioni tisa hadi kukamilika kwake, huku mkandarasi akitakiwa kuukabidhi Feb. 23 mwakani. Na Is-haka Mohammed.…
28 May 2024, 4:30 pm
Wananchi watakiwa kufika mahakamani kutoa ushahidi
“Mnaosimamia upelelezi chukueni hatua kesi zipate mafanikio mahakamani” amesema D/DCI Chembera. Na Omar Hassan / Said Bakar Viongozi wanaosimamia Upelelezi wa Makosa ya Jinai katika ngazi ya Mikoa, Wilaya na Vituo vya Polisi wametakiwa kuwasimamia wapelelezi kutimiza wajibu wao na…
27 May 2024, 4:52 pm
Mbeto amjibu Jussa kuhusu uingizaji wa mafuta Zanzibar
Na Mary Julius Makampuni ya ndani uwezo wao wa mitaji umeyumba kutokana na bei ya mafuta kupanda duniani inayosababishwa na uwepo wa vita vya Urusi na Ukraine. Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo Khamis…
20 May 2024, 4:11 pm
Mabadiliko ya tabianchi yawaibua wanahabari Pemba
Na Is-haka Mohammed “Klabu hiyo itaendelea kushirikiana na wadau wao na wanajamii kutoa elimu pamoja na kushiriki moja kwa moja kwenye harakati za kupunguza athari zaidi za mabadiliko ya tabianchi kwenye maeneo yaliyoathirika ikiwemo kupanda miti.” Amesema Mwenyekiti wa Pemba…
19 May 2024, 5:51 pm
ACT wazalendo Zanzibar wajipanga kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Na Mary Julius. Viongozi wa chama cha ACT wazalendo Mkoa wa Kaskazini A na B kichama wametakiwa kuwaorodhesha wanachama wa chama hicho waliopo katika mikoa yao ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025. Mwenyekiti wa chama cha ACT…
14 May 2024, 3:57 pm
DC Kusini Unguja atoa onyo wanaojichukulia sheria mkononi
Na Omary Hassan Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Cassian Galos Nyimbo amesema ujenzi wa vituo vipya vya Polisi nchini uendane na matumizi ya wananchi kutafuta haki kwa misingi ya sheria na kuacha tabia ya kujichukulia sheria mikononi. Akiweka jiwe…
8 May 2024, 3:03 pm
Wanaoiba pikipiki mikononi mwa Polisi mkoa wa Kusini Unguja
Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za wizi wa pikipiki katika maeneo ya mikusanyiko ya watu ikiwemo kwenye harusi, misiba na nyumba za ibada. Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu…