Recent posts
1 August 2024, 5:07 pm
Jamii, polisi kushirikiana kupambana na ongezeko la uhalifu Zanzibar
Na Omar Hassan DCP Zubeir Chembera amesema idadi ya baadhi ya makosa imepungua ikiwemo makossa ya kulawiti ambapo kuna upungufu wa makosa 24 sawa na asilimia 15.6. Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi Zubeir…
31 July 2024, 6:50 pm
Wazazi watakiwa kuimarisha mahusiano na watoto
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Vicent Innocent amewasihi wazazi kuwa walimu wazuri juu ya malezi ya watoto ili kuwalinda na kuwakuza watoto kwenye ustawi wa maadili mema. Akizungumza kwenye mahojiano na kituo cha Radio Zenji FM amesema…
30 July 2024, 2:45 pm
Udongo sababu ya ucheleweshaji wa mradi wa ujenzi wa barabara Pemba
Na Mary Julius. Kampuni ya MECCO imetoa sababu za mradi wa ujenzi wa barabara ya chakechake/wete kuchelewa utekelezaji wake baada ya kubainika udongo wa barabara ya zamani unahitaji kuchimbwa na kuondolewa udongo kabla ya kuweka udongo mwingine na kusababisha ukubwa…
29 July 2024, 5:50 pm
Ucheleweshwaji wa miradi kero kwa wananchi Pemba
Na Mary Julius Kumekuwa na ubabaifu wa hali ya juu kwa baadhi ya wakandarasi wanaojenga miradi ya serikali kwa kutotimiza makubaliano ya mikataba jambo ambalo linaisababishia hasara serikali kwa kutofikia malengo ya kuwaletea wananchi maendeleo Makamu wa Pili wa Rais…
29 July 2024, 3:25 pm
Maonesho ya wiki ya elimu ya juu ni fursa kwa wanafunzi Pemba
Is- haka Mohammed. Wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo vya elimu ya juu kisiwani Pemba wameombwa kutumia fursa za maonesho ya wiki ya elimu ya juu yanayoendelea visiwani hapa kwa ajili ya kuchagua vyuo na kozi wanazozipenda ili waweze kufanya maombi…
18 July 2024, 4:31 pm
Ufugaji wa nyuki, nzi fursa kwa wenye ulemavu Zanzibar
Na Mary Julius. Mradi wa kuimarisha uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kupitia ufugaji wa nyuki na nzi maalum (black soldier flies) kwa watu wenye ulemavu, umelenga kuimarisha shughuli za utunzaji wa mazingira na kupunguza uvunaji wa…
16 July 2024, 7:47 pm
Wakulima wa karafuu watakiwa kuzingatia sheria Pemba
Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar kwa kushirikiana na kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya wataendelea kuwafuatilia wale wanaopita kwa wananchi na kuwahadaa ili wawauzie karafuu na wale ambao watakamatwa watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Wakulima wa…
15 July 2024, 4:17 pm
Sera mpya ya utetezi, tumaini kwa wenye ulemavu Zanzibar
Na Mary Julius. Katika kikao hicho cha siku mbili wajumbe walijadili namna bora ya kutunga sera ya utetezi ya one advocacy one voice ambayo itasaidia jumuiya zote za watu wenye ulemavu. Kukamilika kwa sera ya utetezi kwa taasisi za watu…
5 July 2024, 3:33 pm
Maradhi yasiyoambukiza tishio visiwani Zanzibar
Na Mary Julius. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani WHO, maradhi yanayosababisha vifo vingi zaidi duniani ni ugonjwa wa moyo ambapo watu milioni 17.9 kila mwaka hufariki kutokana na ugonjwa huo, huku ukifuatiwa na saratani watu milioni 9.3 hufariki…
4 July 2024, 5:22 pm
Wanawake wahimizwa kuchangamkia fursa za mikopo nafuu
Na Ahmed Abdulla Wajumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake Tanzania UWT mkoa wa Kusini Unguja wamehimizwa kuwahamasisha wanawake na vijana kujiunga katika vikundi vya ushirika na kuchukua mikopo nafuu inayotolewa na serikali ili waweze kujiwezesha kiuchumi. Akizungumza wakati…