Zenj FM
Zenj FM
4 June 2025, 3:07 pm

Mwanasiasa mkongwe na mbunge wa zamani jimbo la Kikwajuni Parmukh Singh Na Mwandishi wetu.Mwanasiasa mkongwe na mbunge wa zamani jimbo la Kikwajuni Parmukh Singh amesema wataalamu wengi wanaacha kazi za taaluma na kugombea nafasi za uongozi za kisiasa kutokana na kulipwa malipo duni.
Singh amesema hayo alipokuwa akizungumzia misingi ya siasa ya ujamaa na kujitegemea katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Mwanasiasa mkongwe na mbunge wa zamani jimbo la Kikwajuni Parmukh Singh. Singh amesema katika kuelekea uchaguzi mkuu misingi ya siasa ya ujamaa inapaswa kulindwa kwa manufaa ya chama na wananchi.
Mwanasiasa mkongwe na mbunge wa zamani jimbo la Kikwajuni Parmukh Singh. Kuhusu tatizo la ajira Singh amesema wakati umefika serikali kuweka mfumo wa kulinda ajira za ndani ili vijana wanufaike badala ya vijana kutoka nje ya Nchi.
Mwanasiasa mkongwe na mbunge wa zamani jimbo la Kikwajuni Parmukh Singh.Harakati za uchaguzi mkuu zimeanza kupamba moto ikiwemo watu kutangaza nia kugombea kupitia vyama mbali mbali vya siasa nchini.