Karagwe FM
Karagwe FM
29 September 2021, 7:20 am

Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli zao katika mwalo wa Katunguru kata ya Gwanseri wilayani Muleba wako hatarini kupata mlipuko wa magonjwa kutokana na mwalo huo kutokuwa na choo hali inayosababisha baadhi yao kujihifadhi vichakani na ziwani.