Karagwe FM
Karagwe FM
14 April 2021, 5:53 pm
Wanachama na viongozi wa serikali wametakiwa kuwa wamoja katika kuwahudumia wananchi ili kufikia maendeleo yanayotarajiwa

Amesema hayo katibu wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Bw.Anathory Nshange wakati wa ziara yake ya kuimarisha utawala bora ndani ya chama na serikali iliyofanyika April 13 katika kata za Igurwa na Kanoni
Mwandishi wetu Ospicia Didace ameandaa taarifa ifuatayo