Zenj FM
Zenj FM
16 June 2025, 6:16 pm
Na Is-haka Mohammed Wakati vyama mbali mbali vya siasa vikiwa vinaendelea na michakato mbali mbali ikiwemo ya kupata wagombea watakao viwakilisha vyama hivyo katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2025, wanawake Kisiwani Pemba wameombwa kutorejea makosa yao ya kila mwaka…
12 June 2025, 5:01 pm
Na Mary Julius. Chama Cha Wanunuzi vitu chakavu Zanzibar wamesema kumekuwa na ufanisi mkubwa wa huduma za minada tangu kuazishwa Ofisi ya Msajili wa Hazina na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi. Hayo…
10 June 2025, 3:21 pm
Na Mary Julius. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jaji George J. Kazi , amesema ujenzi wa ofisi ya Tume ya Uchaguzi katika Wilaya ya Magharibi B utasaidia kusogeza huduma karibu na wananchi wa eneo hilo. Mwenyekiti George ameyasema…
8 June 2025, 4:39 pm
Na Mary Julius. Khamis Rashid Khamis, mwanaume mwenye umri wa miaka 26 na mkazi wa Michamvi Pingwe, Wilaya ya Kusini Unguja, amefariki dunia baada ya kuungua kwa moto akiwa amelala ndani ya nyumba yake ya makuti, tukio hilo limetokea usiku…
6 June 2025, 2:46 pm
Na Omar Hassan. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP. Daniel Shillah amesema Swala na Baraza la Eid linalotarajiwa kufanyika Mkoa wa Kusini Unguja Kitaifa pamoja na Skukuu ya EID EL ADH-HA zitafanyika kwa…
5 June 2025, 4:40 pm
Na Mary Julius Mtoto Kelvin Maxmilian mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu amefariki dunia kwa kudumbukia katika kisima kilichopo nyumbani kwao Jumbi wilaya ya Kati mkoa wa kusini unguja.Akizungumza na Zenj Fm Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja…
4 June 2025, 5:24 pm
Na Mary Julius.Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Shamata Shaame Khamis amesema Wizara kwa kupitia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (ZARI) imeweza kutoa taaluma za udhibiti kwa wataalamu na wakulima ambapo jumla ya wataalamu 18 na wakulima 240 walipatiwa mafunzo ya…
4 June 2025, 3:07 pm
Na Mwandishi wetu.Mwanasiasa mkongwe na mbunge wa zamani jimbo la Kikwajuni Parmukh Singh amesema wataalamu wengi wanaacha kazi za taaluma na kugombea nafasi za uongozi za kisiasa kutokana na kulipwa malipo duni. Singh amesema hayo alipokuwa akizungumzia misingi ya siasa…
4 June 2025, 1:18 pm
Na Mwandishi wetu. Huduma za afya , Miundo mbinu na elimu zimehimalika kwa kiwango kikubwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Zanzibar Dk Hussen Ali Mwinyi. Katibu wa Idara ya Itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama…
2 June 2025, 6:44 pm
Na Omary TIMU ya 34 ya Madaktari kutoka China wamewafanyia uchunguzi na kupatiwahuduma za afya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto MayatimaMazizini.Akizungumza mara baada ya kuwapatia huduma watoto hao Kingozi waMadaktari wa timu ya 34 kutoka China Dkt Wei…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group