Recent posts
9 April 2024, 7:40 pm
Polisi Kusini Unguja kuimarisha ulinzi sikukuu ya Eid el Fitr
Na Mary Julius. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja SACP Daniel Emanuel Shilla amesema jeshi la polisi limejipanga katika kuhakikisha hali ya ulinzi na usalama inaimarika kipindi chote cha sikukuu ya Eid el Fitr. Kamanda ameyasema hayo wakati akizungumza…
8 April 2024, 5:00 pm
Maji safi na salama tatizo sugu Kiungani
Ongezeko la watu, kukatika kwa umeme mara kwa mara katika shehia ya Kiungani kumesababisha ukosefu wa maji safi na salama katika shehia hiyo. Na Rahma Hassn na Suleima Abdalla Wakazi wa Nungwi shehia ya Kiungani mkoa wa Kaskazini Unguja wameiomba…
7 April 2024, 6:27 pm
Mratibu vikoba Unguja awataka wanawake kuchukua mikopo kwa malengo
Na Mary Julius. Mratibu wa vikoba Unguja Catherine Marco Ifanda amewataka akinamama wanaojiunga kwenye vikundi vya vikoba kuchukua mikopo kwa malengo ya kujiendeleza. Mratibu ameyasema hayo katika sherehe ya kuvunja kikoba cha St Joseph Mamas hafla iliyofanyika katika ukimbi wa…
30 March 2024, 6:06 pm
Mbunge Pondeza ahimiza kusaidia wasiojiweza
Na Suleiman Mbunge wa jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza amezitaka taasisi na wahisani kutoa sadaka katika mwezi mtukufu wa ramadhan na kuwasaidia wasiokuwa na uwezo ili kujipatia fadhila zinazopatikana katika mwezi huo. Mbunge Pondeza ameyasema hayo mara baada ya…
29 March 2024, 6:22 pm
Wafanyakazi ZAWA walipwa malimbikizo ya madeni ya mshahara
Viongozi wa chama cha wafanyakazi wa huduma za umma ZAPSWU na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha walikutana mwezi march mwaka 2024 na kukubaliana utekelezaji wa malipo ya deni hilo. Mary Julius. Zaidi ya wafanyakazi 560 wa mamlaka ya maji Zanzibar…
27 March 2024, 6:43 pm
Uzalishaji taka waongezeka Zanzibar kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Na Rahma Hassan. Kuelekea katika kipindi cha mvua za masika wakaazii wa shehia ya mikunguni wameliomba Baraza la Manispaa Zanzibar kulitafutia ufumbuzi suala la taka zilizozagaa katika jaa la shehia yao. Wakizungumza na zenji FM Wananchi hao Wamesema karibu wiki…
23 March 2024, 5:20 pm
Bei elekeze ya sukari yawaibua wafanyabiashara wa soko la Mwanakwerekwe
Na Rahma na Suleiman Serikali ya Mapindizi ya Zanzibar kupitia waziri wa Wizira ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar Omar Shaaban ilitoa bei elekezi ya sukari ikiwa ni sh 2650 kwa kilo kwa upande wa unguja na sh 2700 kwa upande…
19 March 2024, 4:30 pm
Taasisi za kiraia,Pemba zamwaga neema kwa wananchi
Na Is-haka Mohammed. Meya wa Manispaa ya Chake Chake Abdalla Hamad Abdalla amesema kazi za utoaji wa misaada na sadaka zinazofanywa na taasisi mbali mbali za kiraia zinaisaidia serikali kutatua changamoto zilizopo katika jamii. Meya ameyasema hayo katika hafla ya …
18 March 2024, 5:07 pm
Mabadiliko ya tabia ya nchi, kikwazo kwa mapambano dhidi ya malaria Zanzibar
Na Mary Julius. Zanzibar imepiga hatua kubwa ya kumaliza malaria licha ya kutokea mlipuko wa maradhi katika siku za hivi karibuni . Wizara ya Afya Zanzibar imesema itaendelea kushirikiana na mashirika ya kimataifa na wadau wengine kuhakikisha kuwa maradhi ya…
14 March 2024, 4:03 pm
Walimu Zanzibar watakiwa kutumia mtaala mpya
Na Ishaka Mohammed Pemba “Baada ya mafunzo jukumu kubwa la mwalimu ni kutumia mtaala huo wakati wa ufundishaji” Amesema Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Leila Mohamed Mussa. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Leila Mohamed…