Recent posts
7 May 2024, 5:41 pm
Zanzibar watakiwa kuchangia damu
Ukosefu wa damu ni moja ya sababu inayosababisha vifo vya mama na mtoto Zanzibar. Na Mary Julius Wananchi wametakiwa kujitokeza kuchangia damu ili kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao wanahitaji huduma hiyo katika hospitali za Unguja na Pemba. Wito…
2 May 2024, 2:24 pm
Madereva wazembe kupokonywa leseni Zanzibar
Na Suleiman Abdalla Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani watoa elimu ya usalama barabarani kupitia radio visiwani Zanzibar. Kitengo cha Usalama Barabarani Zanzibar kimewataka madereva na watembea kwa mguu kufuata kanuni na sheria zilizowekwa ili kuepuka ajali za mara…
1 May 2024, 7:28 pm
Mvua yaathiri uzoaji taka Wilaya ya Magharib A
Na Rahma na Suleiman Mkusanyiko wa taka kwa muda mrefu wawaibua wakazi wa Bububu meli nane. Wananchi wa Bububu meli nane wadi ya kihinani wilaya ya magharibi( A) mkoa wa mjini wameilalamikia Manispaa ya wilaya hiyo kuwepo kwa taka muda…
25 April 2024, 6:41 pm
Zanzibar yaadhimisha siku ya malaria kwa kusambaza vyandarua
Na Mary Julius Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua juhudi ya kuona ugonjwa wa malaria unaondoka kwa kufanyia kazi kauli mbiu ya mwaka huu usemayo ‘Nipo tayari kushinda malaria Ziro Malaria inaanza na mimi’. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…
25 April 2024, 5:48 pm
Zaidi ya wajawazito elfu mbili wafikiwa na M-MAMA Zanzibar
Mary Julius. Wananchi wametakiwa kushirikiana na wizara ya afya katika kuwahimiza wajawazito kuhudhuria kliniki mapema ili kupunguza vifo vya mama na mtoto. Waziri wa afya Nassor Ahmed Mazrui ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha kujadili mpango wa kuendeleza…
24 April 2024, 4:56 pm
Sheha Mwembeshauri alia na uchafu katika eneo la jumba namba 2
Na Suleiman na Rahma. Jumba namba 2 na namba 1 yapo katika shehia ya mwembeshauri wilaya ya mjini, haya ni majumba ya ghorofa ambayo yalijengwa enzi za Rais wa kwanza wa Zanzibar. Sheha Wa Muembe Shauri Abdalla Ali Abdalla amewataka…
19 April 2024, 8:19 pm
Mafanikio ya Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar kipindi cha miaka mitatu-Mak…
17 April 2024, 4:46 pm
Uzio sababu ya utoro skuli ya Mguteni
Na Rahma Hassan. Uongozi wa Skuli ya Mguteni shahia ya Mbuyu Mtende wilaya ya Kaskazini wanaiomba serikali kulitafutia ufumbuzi suala la uzio katika skuli yao ili kuepusha kutoroka kwa wanafunzi hususani karibu na kipindi cha mitihani. Wakizungumza na Zenji FM…
17 April 2024, 4:11 pm
Vijana Zanzibar washauriwa kuacha kuvaa mapambo
Na Mary Julius. Vijana wengi wamekuwa wakitumia urembo huo bila ya kujua unaashiria kitu gani. Vijana wa kiume wametakiwa kuacha tabia ya kuvaa mapambo (bangili, cheni na viculture ) kwani wanakiuka mila na tamaduni za mzanzibar. Ushauri huo umetolewa na Katibu…
15 April 2024, 4:37 pm
Mrajis Zanzibar awakumbusha SHIJUWAZA kuchagua viongozi bora
Na Mary Julius. Shirikisho la Jumuiya za watu wenye ulemavu limesajiliwa rasmi mwaka 2014 mpaka sasa linawanachama 12. Mrajisi Asasi za Kiraia Zanzibar Ahmed Khalid Abdulla amewataka viongozi wa shirikisho la jumuiya ya watu wenye ulemavu Zanzibar (SHIJUWAZA) watakao chaguliwa…