Zenj FM
Zenj FM
17 July 2025, 5:08 pm
Katika kuthamini juhudi za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ,Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imemtunuku Rais huyo Tuzo Maalum kwa mchango wake mkubwa katika kuimarisha demokrasia na mazingira bora ya utendaji wa…
16 July 2025, 3:12 pm
Wamiliki wa gari za abiria wasiopungua kumi na tano 15 na madereva wa ruti za Wilaya ya Kati wamepatiwa elimu ya usafi katika gari zao. Na Mwandishi wetu. Wamiliki wa gari za abiria na madereva wametakiwa kuzingatia suala la usafi…
14 July 2025, 6:17 pm
Na Mwandishi wetu. Chama cha Ada Tadea kimesema viongozi wa dini,wanaharakati na wanasiasa wanapaswa kudumisha amani na umoja wa kitaifa hasa kwa kuzingatia kuwa Zanzibar ni nchi ya visiwa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wito huo umetolewa na…
14 July 2025, 5:29 pm
Na Is-haka Mohammed. Viongozi wa wakulima wanawake katika kilimo Msitu na Mikoko Pemba (TOT) wametakiwa kuvitumia vyombo vya habari kueleza kazi wanazoendelea nazo ikiwemo mafanikio na Changamoto wanazokumbana nazo katika harakati zao za kilimo hicho.Wito huo umetolewa na Mkuu wa…
13 July 2025, 7:05 pm
Tuzo ya World Summit on the Information Society (WSIS) hutolewa na International Telecommunication Union (ITU) kwa kutambua matumizi bora ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika maendeleo ya jamii. Mradi wa Kadi ya Matibabu ya Zanzibar uliibuka miongoni mwa…
11 July 2025, 4:04 pm
Nchi ambazo zimesaini Mkataba wa Afrika Kuhusu Haki za Watu Wenye Ulemavu (African Disability Protocol, ADP),ambao umeanza kutumika rasmi tangu Mei 2024 ni Angola, Burundi,Cameroon, Congo Brazzaville, Kenya, Mali, Malawi, Msumbiji, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Afrika Kusini, Uganda, na Zimbambwe.…
10 July 2025, 6:17 pm
Mradi wa Zanzadapt, unalenga kuimarisha nafasi ya mwanamke kiongozi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na unatekelezwa kwa ushirikiano wa TAMWA ZNZ, Jumuiya ya Misitu Pemba (CFP), Jumuiya ya Misitu Kimataifa (CFI), kwa kushirikiana na Ubalozi wa Canada. Na Mwandishi…
10 July 2025, 4:31 pm
Na Is-haka Mohammed CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kimesema dhamira yake bado ni kushika dola na kuondosha changamoto ambazo bado zinawakabili wananchi ikiwemo wanafunzi kukaa madahalia bila ya kuchangia chochote. Kauli hiyo ya CHAUMA imetolewa na Mwenyekiti wa Chama…
9 July 2025, 5:49 pm
Mary Julius. Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Jaji Aziza Iddi Suwed ametoa wito kwa wajumbe wa kamati hiyo kushiriki kikamilifu kwa kutoa maoni yao…
8 July 2025, 2:47 pm
Na Is-haka Mohammed. Chama cha Wananchi CUF kimedhamiria kufanya tathmini ya kina ya wagombea watakaosimamishwa katika nafasi mbalimbali za uongozi, kwa lengo la kuhakikisha wanachaguliwa viongozi wenye sifa ya uzalendo na utayari wa kuwatumikia wananchi, si kwa maslahi binafsi.Akizungumza katika…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group