Zenj FM
96.9 MHz
S.O.S Mombasa-Mjini Magharibi
+255 773 225 180 +255 773 339 800
monitoringzenjifm@yahoo.com
96.9 MHz
S.O.S Mombasa-Mjini Magharibi
+255 773 225 180 +255 773 339 800
monitoringzenjifm@yahoo.com
25/03/2026, 16:32
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Juma Malik Akil, amesema Zanzibar itapata umeme wa uhakika ndani ya miezi michache ijayo kutokana na miradi mipya ya nishati. Amesema serikali inawekeza katika umeme wa jua na upepo ili kuongeza uzalishaji hadi…
23/03/2026, 16:31
Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Ubunifu, Mudrik Ramadhani Soraga, amesema serikali imefanikiwa kutoa mafunzo ya TEHAMA kwa wananchi zaidi ya 7,500 kupitia vituo vya TEHAMA jamii Unguja na Pemba. Na Mary Julius. Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia ya Habari…
23/03/2026, 16:11
Zaidi ya vijana 250 wa Jimbo Katoliki la Zanzibar wametembelea Hospitali ya Wilaya ya Mbuzini kutoa msaada na faraja kwa wagonjwa ikiwa ni sehemu ya mfungo wa kwaresima. Na Mary Julius. Katika kipindi cha mfungo wa kwaresima, vijana zaidi ya…
23/03/2026, 14:56
Waumini wa dini ya Kiislamu wamehimizwa kuwalea vijana katika misingi ya maadili mema ili waweze kuijua vyema dini ya Allah. Wito huo umetolewa na Sheikh Farid Hadi Ahmed wakati wa mahafali ya Eid yaliyofanyika Chake Chake, Pemba. Na Is-haka Mohammed…
20/03/2026, 22:29
Mbunge wa Jimbo la Fuoni, Asha Hussein Saleh, amegawa nyama ya ng’ombe kwa zaidi ya wananchi 200 ili kuwawezesha kusherehekea Eid el-Fitr kwa furaha. Hatua hiyo imelenga kuwasaidia wenye mahitaji maalum hasa. Na Mary Julius Katika kuhakikisha wananchi wenye mahitaji…
19/03/2026, 22:05
Balozi Zena Ahmed Said ameliomba Shirika la Bima la Taifa (NIC) kuangalia uwezekano wa kuanzisha bima ya Takaful, ili kuwasaidia wananchi ambao wana vikwazo vya kiimani kujiunga na huduma za bima. Na Mary Julius. Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa…
19/03/2026, 20:24
Kamanda wa Polisi Kusini Unguja, SACP Daniel Shillah, amewahimiza wananchi kusherehekea Eid kwa utulivu huku Jeshi la Polisi likiahidi kuimarisha ulinzi na usalama. Na Mary Julius. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Daniel…
19/03/2026, 19:55
Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi limewakamata vijana watano wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu wa kimtandao, wakiwemo matapeli wanaojifanya mawakala wa huduma za simu au kutoa ajira ili kuwaibia wananchi fedha kwa njia ya udanganyifu.…
15/03/2026, 19:48
Mbunge wa Jimbo la Malindi, Muhsin Haji Ussy, amesema utoaji wa motisha ni muhimu kuhamasisha wanafunzi kusoma kwa bidii ili waweze kusaidia familia na jamii yao. Na Mary Julius. Mbunge wa Jimbo la Malindi, Muhsin Haji Ussy, amewaahidi zawadi wanafunzi…
14/03/2026, 18:13
Mafunzo hayo yaliyofunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kamesheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar, Makame Khatib Makame, yamelenga kuwajengea uwezo masheha ili kufahamu wajibu wao. Na Hakika Mwinyi. Masheha wametakiwa kuyafanyia kazi Mafunzo waliyopatiwa pamoja nakufahamu wajibu wao pindi yanapotokea maafa…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group