Zenj FM

Hoogan: Afro Shiraz, TANU kuungana yalikuwa maamuzi sahihi

24 April 2025, 5:26 pm

Mwanasiasa mkongwe Parmukh Singh Hoogan.

Na Mwandishi wetu.

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utaendelea kuwepo na kuhimalika kama Chama cha mapinduzi kitaendelea kubakia madarakani.

Hayo yameleezwa na mwanasiasa mkongwe Parmukh Singh Hoogan alipokiwa akizungumzia maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano.
Aidha masema malengo ya muungano yamefanikiwa lakini wakati umefika nafasi nyeti za uongozi za mùungano kufanyika kwa zamu kati ya Zanzibar na Tanzaniaa bara.

Sauti ya Parmukh Singh.

Singh akizungumzia mfumo wa kuwapata viongozi kupitia Chama cha Mapinduzi (ccm) amesema Aliyekuwa Rais wa Zanzibar hakufanua makosa kuunganisha Afro shrazy Part na Tanu mwaka 1977.

Sauti ya Parmukh Singh.

Singh amesema wakati Taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu rushwa ya uchaguzi, ubaguzi wa rangi na dini vinapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria.

Sauti ya Parmukh Singh.

Uchaguzi mkuu unatarajia kufanyika Oktoba mwaka huu na tayari Chama cha mapinduzi kimeteua wagombea wake wa urais wa Muungano na Zanzibar.