Zenj FM

Wakulima wanawake Pemba na kilimo msitu

8 January 2025, 1:54 pm

Miongoni mwa shamba la Kilimo Msitu la Fatma Shaaban lililopo Kiuyu Penjewani Pemba.
Sauti ya Is-haka Mohammed.

Wakulima wanawake Wete kisiwani Pemba wamejikita katika Kilimo Msitu ili kuboresha kipato cha mtu mmoja na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Fuatilia makala hii upate mengi kuhusu kilimo hiki na matarajio ya wakulima kisiwani Pemba.