Recent posts
11 December 2023, 16:17
Mwangungulu:Wazazi wapelekeni watoto wenye ulemavu shuleni 2024
Wakati dirisha la uandikishwa kwa watoto walio na umri wa kuanza shule kwa darasa la kwanza likifunguliwa jamii wilayani kyela imetakiwa kuwapeleka watoto wao kujiandisha ili kutimiza haki yao ya msingi ya kupata elimu. Na Masoud Maulid Wito umetoletewa kwa…
11 December 2023, 12:42
Kyela: Ngedere watishia janga la njaa Ipande
Wanyama waharibifu kwa mazao ya chakula aina ya Ngedere wamevamia mashamba ya wananchi wa Ipande na kula mazao shambani. Na Nsangatii Mwakipesile Kufuatia kuwepo kwa uharibifu mkubwa wa mazao unaofanywa na wanyama aina ya ngedere wakulima wa Kata ya Ipande…
11 December 2023, 12:31
Mwankenja: CHADEMA tulieni mambo mazuri yanakuja
Uchaguzi wa ndani wa chama cha demokrasia na amaendeleo CHADEMA ngazi ya kata ya Kyela mjini umefanyika na kumpata Lafaele Mwankenja kuwa menyekiti. Na James Mwakyembe. Zoezi la uchaguzi wa ndani kuchagua viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA…
9 December 2023, 17:29
Kyela:Nguvu ya wananchi yatumika kukarabati miundombinu ya barabara Ipyana B
Pichani Ni wananchi wa Kitongoji cha Ipyana B wakiwa katika zoezi la uchongaji wa barabara za mitaa za balozi mbili zilizoungana.Picha na Nsangatii Mwakipesile Katika kuhakisha wanaunga mkono jitihada za serikali za kujiletea maendeleo miongoni mwao wananchi wa balozi mbili…
9 December 2023, 13:34
Kyela:Barabara 21 zakarabatiwa Butihama
Pichani ni Mwenyekiti wa kitongoji cha Butihama hapa wilayani Kyela Yohana Mwambungu akiwa katika moja ya makaravati mapya yaliyojengwa.Picha na James Mwakyembe. Wananchi wa kitongoji cha Butihama wameipongeza serikali kwa kufanikisha ujenzi wa barabara 21 pamoja na makaravati 14 hali…
6 December 2023, 18:06
Wananchi Kyela wakimbia nyumba zao kwa harufu ya mizoga
Wakaazi wa kitongoji cha roma wanaokizunguka kizimba cha Roma wameitaka serikali ya mamlaka ya mji mdogo wa Kyela kuziondoa taka zinazozagaa katika kizimba hicho ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko. Na Nsangatii Mwakipesile Kufuatia kuwepo kwa kadhia ya harufu mbaya…
4 December 2023, 12:33
Bongo: Mkurugenzi mpya apewe maua yake
Mwenyekiti wa mamlaka ya mji mdogo wa Kyela Emmanuely Bongo amewataka wenyeviti wa vitongoji na mitaa kuhakikisha wanazingatia suala la utawala bora ili kuwaletea wananchi maendeleo. Na Nsangatii Mwakipesile Kikao cha Robo ya kwanza cha Mamlaka ya mji mdogo wa…
4 December 2023, 12:08
Kayombo: Nilipanda mtini nyuki wakanishambulia
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jila la Rudigel Kayombo mkazi wa Makwale wilayani Kyela amevinjika uti wa mgongo baada ya kuanguka kutoka juu ya mti. Na Masoud Maulid Rudigel Lucas Kayombo mwenye umri wa miaka 61 mkazi wa kijiji cha Ibale…
4 December 2023, 09:39
Mwamengo: Waislamu bebeni jukumu la malezi hakuna mtoto asiye na wazazi
Maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad Wilaya ya Kyela yamefanyika katika msikiti wa Wilaya na kuhudhuriwa na madau wa maendeleo mhandisi Baraka Mwamengo. Na Masoud Maulid Zaidi ya shilingi milioni nne zimepatikana katika harambee ya ununuzi wa kiwanja cha kujenga…
2 December 2023, 21:47
Katule: Msikae kinyonge kanisa la Moravian ni kubwa
Wahitimu wa mafunzo ya uchungaji katika chuo cha biblia cha kanisa la kiinjiri Moraviani Tanzania hapa wilayani Kyela wametakiwa kumtegemea Mungu katika kazi yao mpya ya utumishi. Na Nsangatii Mwakipesile Mahafari ya kumi na tisa ya uchungaji ya chuo cha…