Recent posts
11 January 2024, 17:42
Kyela:Vitambulisho 36 elfu vya utaifa vyatolewa na NIDA Kyela
Baada ya serikali kutoa vitambulisho vya utaifa vya NIDA kwa wilaya ya Kyela wananchi wilayani hapa wamesusia kuchukua vitambulisho hivyo licha ya serikali kutumia nguvu kubwa katika kuwahamasisha. Na James Mwakyembe Siku chache baada ya mkuu wa wilaya ya Kyela…
9 January 2024, 21:25
Kyela:Milioni mbili zatolewa na tunajivunia Kyela Yetu kwa shule nne Kyela
Watoto zaidi ya sabini wenye uhitaji maalumu wamepokea vifaa mbalimbali vya kujifunzia kutoka kwa umoja wa kikundi cha tunajivunia Kyela Yetu hapa wilayani Kyela. Na James Mwakyembe Vifaa mbalimbali vya kujifunzia vyenye thamani ya shilingi milioni mbili vimetolewa na umoja…
8 January 2024, 16:14
Mbeya: Samia mgeni rasmi maadhimisho ya maridhiano kitaifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dr Samia suluhu Hasani anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya maridhiano kitaifa yanayotarajia kufanyika mkoa wa Mbeya mwezi machi mwaka huu. Na Masoud Maulid Kuelekea maadhimisho ya siku ya maridhiano kitaifa march…
8 January 2024, 16:02
Swebe: Nipo tayari, CHADEMA nitume popote nitakwenda
Baada ya kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa ndani wa chama cha demokrasia na amaendeleo wilaya ya Kyela mwenyekiti mpya wa chama hicho Victoria Swebe amesema yuko tayari kukipigania chama hicho ili kitwae jimbo katika uchaguzi ujao. Na James Mwakyembe…
8 January 2024, 15:47
Kyela waunda Chamata
Wakati Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na jukumu la kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania, wadau mbalimbali wa maendeleo hapa wilayani Kyela wameunda umoja wao unaotambulika kwa jina la Chamata Tanzania ukiwa na lengo la…
4 January 2024, 13:02
Kukaja Kununu wamwaga bima za afya Kyela
Katika kuhikikisha watoto wanakuwa na afya bora hapa nchini umoja wa kikundi cha Kukaja kununu kimetoa bima za afya na vifaa vya usafi vyenye thamani ya zaidi ya shilingi laki tano katika hospitali ya wilaya ya Kyela. Na James Mwakyembe…
4 January 2024, 12:45
Kyela:Samia atua rasmi Kyela
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasan akiendelea kutekeleza miradi mikubwa yenye fedha nyingi jukwaa la kumsemea MAMA maarufu kama CHAMATA limeanzishwa rasmi wilayani kyela na kufanya uchaguzi wa viongozi wake. Nsangatii Mwakipesile Umoja wa jukwaa…
27 December 2023, 21:30
Ibasa washerehekea Krismasi, mwaka mpya na wenye ualbino Kyela
Vifaa tiba pamoja na vifaa vya shule vyenye thamani ya shilingi milioni nne na laki tisa vimetolewa na umoja wa wanakyela waishio sehemu mbalimbali maarufu Ibasa katika kituo cha afya Njisi na sekaondari mpya ya njisi iliyoko kata ya Njisi…
27 December 2023, 20:03
Kyela:Serikali kumtua ndoo mwanamke Kyela
Jumla ya shilingi bilioni nne zimetolewa na serikali ya Tanzania kwa wananchi wilayani Kyela ili kukamilisha mradi wa ujenzi wa mtandao wa maji safi na salama kutoka halmashauri ya Busokelo. Na Masoud Maulid Wananchi wilayani Kyela wameanza kuwa na matumaini…
23 December 2023, 16:01
Kyela: Bablon kuishi na maono ya wototo yatima
Mdau wa maendeleo wilayani Kyela Bablon Mwakyambile ametoa misaada mbalimbali ikiwemo fedha taslimu shilingi laki tano kwa watoto yatima 36 huku akiahidi kuendelea kuwakumbuka katika mambo mengine. Na James Mwakyembe Ibada ya kuwatunza watoto yatima 36 imefanyika katika kanisa la…