Recent posts
3 February 2024, 16:47
Hatimaye shule yanukia Serengeti Kyela
Baada ya kukosekana kwa shule za msingi na sekondari hatimaye wakaazi wa kata ya Serengeti hapa wilayani Kyela wanatarajia kuanza ujenzi wa shule baada ya kupatikana eneo. Na Masoud Maulid Kutokana na kilio cha muda mrefu kwa wananchi wa kata…
3 February 2024, 16:31
Kyela:Samia Mgeni rasmi maridhiano day Mbeya
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dokta Samia Suluhu Hasan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya mamaridhiano day itkayofanyika machi 3 2024 mkoani Mbeya.Na Masoud Maulid Kuelekea siku ya maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika march 3.2024 kamati ya…
2 February 2024, 00:40
Maadhimisho ya Siku ya Sheria yafana Kyela
Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase ameipongeza mahakama ya wilaya ya Kyela kwa kazi ya utoaji haki kwa jamii ya wanakyela kwa ujumla. Na Nsangatii Mwakipesile Maadhimisho ya siku ya Sheria hapa nchini Tanzania yamefanyika hapa wilayani Kyela huku…
31 January 2024, 22:29
Kyela: Manase mgeni rasmi kilele cha Sheria Kyela
Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya sheria hapo kesho katika viwanja vya mahakama ya wilaya ya Kyela. Na Nsangatii Mwakipesile Kuelekea kelele cha maadhimisho ya siku ya sheria hapa nchini…
30 January 2024, 22:16
Kyela:Wanafunzi zaidi ya 40 hawajaripoti Ngonga Sekondari
Wakati mhura mpya wa masomo ukianza rasmi hapa nchini Tanzania zaidi ya wanafunzi 40 hawajaripoti katika shule ya sekondari Ngonga kutokana na sababu zisizotambulika na mamlaka husika. Na Nsangatii Mwakipesile Mtendaji wa kata ya Ngonga Lutufyo Mwangamilo ametoa tahadhari ya…
30 January 2024, 22:07
Kyela:CHAMATA Kyela wakiwasha
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya CHAMATA Tanzania wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wameafikiana kuanza kufanya shughuli za utambulisho wa miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani. Na James Mwakyembe Kikao kazi cha…
27 January 2024, 00:30
Kyela: Mwamengo, UWT Nkuyu watoa kilo mia moja za mchele
Wakati Jumiya ya UWT kata ya Nkuyu ikijiandaa kusherehekea sikukuu yao, kilo miamoja za mchele zimetolewa na mdau wa maendeleo hapa wilayani Kyela Baraka Mwamengo. Na James Mwakyembe Kuelekea sherehe za jumuiya ya umoja wa wanawake UWT kata ya Nkuyu…
26 January 2024, 23:18
Kyela: Wiki ya sheria yazinduliwa rasmi wilayani Kyela
Kuelekea kilele cha maadhimisho ya Sheria hapa nchini wanafunzi zaidi ya miatatu pamoja na walimu wao katika shule ya sekondari Mwakilima wamepatiwa elimu ya masuala mbalimbali yahusuyo haki za kisheria. Na Nsangatii Mwakipesile Maadhimisho ya wiki ya sheria hapa nchini…
26 January 2024, 01:53
Kyela: Isaki waoga noti za Babylon Mwakyambile
Wanachama wa chama cha Mapinduzi hapa wilayani kyela wametakiwa kuungana ili kukamirisha ujenzi wa jingo la ofisi za kata Isaki hapa wilayani Kyela ili kuondoa kadhia ya kuwafuata viongozi wa chama nyumbani kwao. Na James Mwakyembe Mdau maendeleo na mwanachama…
11 January 2024, 18:09
Mwangasa:Vijana shikamaneni acheni makundi
Katika kuiimarisha jumuiya ya vijana Uvccm hapa wilayani Kyela mjumbe wa mkutano mkuu mkoa wa mbeya Sarah Mwangasa amewataka vijana wilayani hapa kuachana makundi ili kukijenga jumuiya imara. Na Nsangatii Mwakipesile Mjumbe wa UWT mkoa kutoka wilayani Kyela Sarah Mwangasa…