Recent posts
4 April 2024, 13:29
Kyela:Covenant Edible Oil yamwagiwa pongezi na mbunge jimbo la Kyela
Baada ya mkurugenzi wa Covenant Edible Oil Ltd kufanya juhudi kubwa za kuwaletea maendeleo na fursa za ajira wakazi wilayani hapa mbunge wa jimbo la Kyela Ally Mlaghila Jumbe amempongeza mkurugenzi huyo na kuwataka wadau wengine kufuata njia hiyo ili…
4 April 2024, 13:17
Kyela:Mvua za ng’oa daraja wananchi wapiga mbizi kufuata huduma
Wananchi katika kata ya ngana hapa wilayani kyela wapo hatarini kuliwa na mamba kufuatia daraja la mto mwega kubomoka na kulazimika kuvuka kwa kuogelea ndani ya mto huo unaosifika kuwa na mamba wengi kufuata huduma kijiji cha pili. Na Masoud…
4 April 2024, 13:07
Kyela:Kishindo maadhisho ya wiki ya jumuiya ya wazazi Kyela Bondeni A yang’ara
Wakati chama cha mapinduzi ccm taifa kikiadhimisha wiki ya jumuiya ya wazazi wananchi wilayani kyela wametakiwa kusimamia kikamirifu suala la maadili na kutunza mazingira. Na Nsangatii Mwakipesile Maadhimisho ya wiki ya jumuiya ya wazazi wilayani kyela yamefanyika kwa kufanya usafi…
27 March 2024, 13:01
Convenant Edible Oil Ltd yamwaga vifaa vya michezo Kajunjumele Kyela
Kampuni ya kuzarisha mafuta ya Kyela Cooking Oil Convenant Edible Oil Ltd chini mkurugenzi Babylon Mwakyambile wamekabidhi mipira nane kwa timu nane shiriki katika ligi ya chama cha Mapinduzi ccm kata ya Kajunjumele. Na Nsangatii Mwakipesile Mkurungenzi wa kampuni ya…
23 March 2024, 22:49
Kyela:Mitungi ya Kinanasi yafika msikiti wa tenende
Mbunge wa jimbo la Kyela amendelea kukabidhi majiko ya gesi na sukari kwa waumini wa dini ya kiislamu ambapo mara hii amekabidhi majiko hayo katika misikiti ya tenende na Ipinda. Na Masoud Maulid Waislamu wilaya ya kyela wamempongeza mbunge wa…
23 March 2024, 22:28
Kyela:Mwanjala atembelea Convenant Edible Oil
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kyela akiambatana na kamati yake ya siasa wilaya ya Kyela amekagua kiwanda kipya cha kuzarisha mafuta cha Convenant Edible Oil na kumwagia sifa lukuki mwekezaji wa kiwanda hicho. Na Nsangatii Mwakipesile Kamati ya siasa ya…
20 March 2024, 17:27
Kyela:Mwalimu atuhumiwa kubaka mwanafunzi darasa la saba
Mwalimu mmoja mkazi wa kata ya njisi hapa wilayani kyela anatuhumiwa kumbaka motto mwenye umri wa miaka 14 huku akimuahidi kumuoa na kumpa fedha za kulia shuleni. Na Nsangatii Mwakipesile Katika hali isiyo ya kawaida mtu mmoja aliye tambulika kwa…
20 March 2024, 13:09
Kyela:Kinanasi aungana na waislamu funga ya mwezi mtukufu
Wakati waumini wa dini ya kiislamu wliayani kyela wakiendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani mbunge wa jimbo la Kyela Ally Mlaghila Kinanasi ametoa sukari na mitungi ya gesi kwa kila msikiti wilayani kyela. Na Masoud Maulid Mbunge wa…
20 March 2024, 11:52
Kyela:Ccm Itunge yang’ara kwa manoti ya Mwakyambile
Mkurugrnzi wa kampuni ya Convenant Edible Oil Ltd wazalishaji wa mafuta ya Kyela Cooking Oil Babylon Mwakyambile amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya itunge kushikama ili kufanikisha ujenzi wa ofisi za chama hicho. Na Nsangatii Mwakipesile Harambee ya…
20 March 2024, 11:44
Kyela:Wenye 3d Kyela sasa kukiona cha moto
Mkuu wa usalama barabarani wilayani kyela Assistant Inspecta Seif amewataka madereva ambao bado hawajatoa pleti namba za 3d kutoingiza magari yao barabarani mpaka hapo watakapotekeleza agizo hilo. Na James Mwakyembe Jeshi la polisi wilayani kyela kitengo cha usalama barabarani limesema…