Recent posts
4 June 2024, 17:11
Wengine 9 waikacha CHADEMA Kyela
Wimbi la wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema kukihama chama hicho hapa wilayani kyela limeendelea kushika kasi baada ya wananchama wake wengine tisa kujinga Ccm. Na Aidan Mwasampeta Siku chache baada ya wanachama wa Demokrasia na Maendeleo kutimka…
3 June 2024, 16:14
Kyela:Miti 150,0000,kupandwa Kyela
Katika kukabiliana na janga la mafuriko ambalo limekuwa likiisumbua wilaya ya Kyela mara kwa mara serikali imekusudia kupanda miti milioni moja na laki tano. Na James Mwakyembe Siku chache baada ya mvua kubwa kuikumba wilaya ya Kyela serikali imekusudia kupanda…
31 May 2024, 18:25
Kyela:Harufu mbaya yatatiza afya za watu Butiama
Kutokana na hali ya mrundikano wa taka ulikithiri katika kizimba cha soko la jioni Kapwili wamelalamiki harufu mbaya inayosababishwa na kujaa kwa taka kizaimbani hapo. Na Nsangatii Mwakipesile Wananchi na wafanyabiashara katika soko la jioni la njia panda kapwili wameitaka…
28 May 2024, 15:58
Swebe: CCM acheni uoga CHADEMA tunawanyima usingizi
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kyela Victoria Swebe amekitaka Chama Cha Mapinduzi CCM kuacha uoga wa kiasiasa badala yake wajitokeze hadharani katika kuwahudumia wananchi. Na Masoud Maulid Saa chache baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM Kyela kutangaza kuwapokea wanachama wapya…
27 May 2024, 18:21
Kyela: Wafanyabiashara acheni kugoma njooni TCCIA
Mwenyekiti wa taasisi ya biashara,viwanda na kilimo Tanzania TCCIA amewataka wafanyabiashara wilayani kyela kuitumia taasi yao ili kuondokana na migogoro ya kibiashara isiyo ya lazma. Na Masoud Maulid Siku mbili baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa soko la kyela kugoma…
23 May 2024, 19:08
Kyela: Wananchi Kilombero waamua kujenga ofisi ya mwalimu mkuu
Wananchi wamesema wameanza kuchangishana fedha ili kuhakikisha wanafanikisha ujenzi wa ofisi ya mwalim mkuu katika shule ya msingi kilombero kata ya Mababu hapa wilayani Kyela. Baada ya Halmashauri ya Wilaya ya kyela kukusudia kusaidia fedha za kukamilisha ujenzi wa vyumba…
20 May 2024, 18:35
Kyela: Likambo mlemavu wa viungo anayelea watoto 10 kwa baiskeli, pikipiki
“Nilipata ulemavu nikiwa na umri wa miaka thelathini nikiwa na mke na watoto watatu.” Anaeleza Mwambungu Na Masoud Maulid Watanzania wenye ulemavu wametakiwa kujishughulisha na shughuli ndogondogo za ujasiriamali na kuachana na tabia ya ombaomba ili kukidhi mahitaji yao. Kauli…
15 May 2024, 18:48
Mwanafunzi wa darasa tatu atumbukia mto Kiwira, hofu yatanda
Kutokana na kuharibika kwa kivuko cha Kasumulu kinachowaunganisha wananchi wa kata ya Ngana na Ibanda hapa wilayani Kyela kuwa katika hali mbaya wananchi wa kata hizo wameiomba serikali kuboresha haraka kivuko hicho kinachotishia uhai wao. Na Masoud Maulid Mtoto Elisha…
15 May 2024, 10:09
Madaktari wa Mama Samia watua Kyela
Wakati serikali ikiendelea na mkakati kabambe wa kuwapatia huduma za kibingwa wananchi wake timu ya madaktari bingwa watano kutoka Dar es salaam wametia nanga katika hospitali ya wilaya ya kyela kwaajiri ya huduma za kibingwa. Na James Mwakyembe Timu ya…
10 May 2024, 18:21
Waziri Mkuu ziarani Kyela
“Tupo tayari kumpokea waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ili aje aone namna fedha za zinazotolewa na raisi samia jinsi zinavyofanya kazi za maendeleo hapa wilayani”. Na Masoud Maulid Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kasim…