Recent posts
30 November 2023, 22:13
Kumekucha uchaguzi CHADEMA Kyela
Hekaheka za kuwapata viongozi wa nafasi mbalimbali ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo zimepamba moto hapa wilayani Kyela mkoani mbeya. Na James Mwakyembe Zoezi la uchukuaji fomu kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limeanza…
30 November 2023, 10:42
Zahanati mpya ya kisasa yanukia Nduka
Baada ya kukosekana kwa huduma za afya kwa wananchi wa kijiji cha Nduka wilayani Kyela, serikali imepanga kujenga zahanati ya kisasa kijijini hapo. Na James Mwakyembe Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela ambaye ni diwani wa kata ya Ikimba…
29 November 2023, 22:53
Strobeli yawageuza lulu wakulima wilayani Rungwe
Baadhi ya wakulima wa zao la strobeli wilayani Rungwe.Picha na James Mwakyembe Tathmini ya kuangazia mafanikio ya zao la Strobeli wilayani Rungwe yamefanyika yakiongozwa na msemaji wa shirika lisilo la kiserikali Shoma Nangale.Na Nsangatii Mwakipesile Baada ya kutambulishwa rasmi kwa…
28 November 2023, 11:49
Kyela walia na mkandarasi wa mradi wa umwagiliaji Makwale
Baada ya kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mradi wa umwagiliaji wa Makwale hapa wilayani Kyela wananchi wanaunda kata za Makwle,Ndobo na Lusungo wameiomba serikali ya halmaashsuri ya wilaya ya kyela kuingilia kati kukamilika kwa mradi huo.Na Nsangatii Mwakipesile Kutokana na…
28 November 2023, 11:28
Serikali ya Mwaga Boti nne za kisasa kwa wavuvi ndani ya ziwa Nyasa
Naibu waziri wa Kilimo na Uvuvi Alexander Mnyeti amewataka wavuvi ndani ya Ziwa Nyasa kuhakikisha wanaachana na uvuvi haramu na badara yake watumie uvuvi wa vichanja ili kukuza uchumi wa Taifa.Nsangatii Mwakipesile Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi hapa nchini…
27 November 2023, 19:10
Milioni kumi na tano zamwangwa kukarabati machinjio ya Mikoroshoni
Jumla ya shilingi milioni kumi na tano zimetolewa na serikali ya awamu ya sita kwaajiri ya ujenzi wa miundombinu ya machinjio ya kisasa hapa wilayani Kyela. Na James Mwakyembe Wakati serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiendelea kuboresha miundombinu…
21 September 2023, 17:54
Madereva 87 Kyela wakabidhiwa vyeti vya udereva
Na James Mwakyembe Jumla ya madereva themanini na saba wapepigwa msasa wa mafunzo ya udereva na kukabidhiwa vyeti vya udereva huku wakitakiwa kuwa mabalozi wazuri wawapo barabarani. Katika kuhakikisha ajali za barabarani zinapungua mkoani Mbeya, jeshi la polisi limetoa vyeti…
21 September 2023, 13:27
Wananchi Kyela washauriwa kuachana na imani potofu zoezi la utoaji chanjo kwa wa…
Wakati zoezi la utoaji chanjo kwa watoto chini ya umri wa miaka 8 likianza hii leo wazazi na walezi wilayani Kyela wameaswa kuachana na imani potofu, bali wanatakiwa kuamini chanjo inayotolewa na watoa huduma waliowekwa na serikali. Na Secilia Mkini…
20 September 2023, 10:09
Babylon: aikacha Chadema atoa mifuko 30 ya saruji ujenzi wa ofisi ccm
Babylon Mwakyembile alie Wahi kugombe ubunge kupitia CHADEMA ameamua kuachana na chama Hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi ambapo katika ujenzi unaoendelea kwenye ofisi ya ccm kata ya Ngusa ametoa vifaa mbalimbali vya ujenzi. Na Rahm Sakabona. Aliye kuwa…
17 September 2023, 15:37
Vikoba vyawa mkombozi kwa wanawake wilayani Kyela
Vikoba wilayani Kyela vimetajwa kuwa chanzo kikuu cha kuinua uchumi kwa wanawake na kupelekea kujikwamua kiuchumi na kuwa tegemezi kwenye familia. Na Secilia Mkini Imeelezwa kuwa vikoba kwa wanawake ni njia mojawapo inayoinua uchumi kwa wanawake kwani huwasaidia katika kuendesha…