Zenj FM

Recent posts

29/08/2023, 13:56

Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto hospitali kupatiwa huduma ya tohara

Wananchi wametakiwa kutumia fursa ya kwenda kufanya matibabu kwenye kambi inayoendelea katika Hospitali ya Kivunge. Na Omary Abdallah. Wizara ya Afya Zanzibar imesema kufanyika kwa kambi za magonjwa mbalimbali hapa nchini kunasadia kwa kiasi kikubwa kuwapatia huduma wananchi kwa ukaribu pamoja…

27/08/2023, 15:21

Kijana ajinyonga Pemba

Na Is-haka Mohammed Mtu mmoja anayejulikana kwa jina Moh’d Omar Juma maarufu Magodoro   anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 mkaazi wa Machomanne Kilimo amefariki dunia baada ya kuonekana akining’inia katika chumba kwa kujinyonga. Khamis Issa Moh`d ni Mwanafamilia  wa…

25/08/2023, 15:56

Tamwa Zanzibar yawanoa waandishi wa habari Pemba

Waandishi wa Habari Pemba wanatakiwa kufanya uchunguzi yakinifu kabla ya kurusha hewani habari za  udhalilishaji. Na Is-haka Mohammed Pemba. Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (Tamwa Zanzibar) kimewakumbusha waandishi wa habari juu ya umuhimu wa kuandika habari zenye tija na…

23/08/2023, 14:53

Matukio ya udhalilishaji yaongezeka kwa 32.3% Zanzibar

Na Ahmed Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  imesema  pamoja na kupiga  vita dhidi ya matukio ya  udhalilishaji na ukatili kwa wanawake  na watoto lakini bado matukio hayo yanaongezeka kila siku. Kwa mujibu wa takwimu za makosa ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kutoka…

21/08/2023, 14:38

CUF Pemba wailaumu ACT Wazalendo kushindwa kuwatetea wananchi

Chama cha Cuf Pemba imekitupia lawama chama cha Act Wazalendo kwa kushindwa kuisimamia Serikali ya Mapinduzi ya zanzibar katika swala zima la upandaji wa bei za bidhaa hasa vyakula. Na. Is-haka Mohammed Pemba. Chama cha Wananchi CUF kimetoa lawama kwa…

18/08/2023, 15:56

Wafanyabiashara watakiwa kuhama pembezoni mwa barabara Zanzibar

Mkuu wa wilaya ya Magharibi B Hamida Mussa Khamis, amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wakiwemo wa matunda na mbogamboga kwenda kufanya biashara zao katika masoko ya muda yaliyopangwa na serikali ikiwemo Kwerekwe C, Kwerekwe Sheli pamoja na Soko la Jumbi. Na…

16/08/2023, 12:10

Kipindi: Mwangaza wa habari

Na Ivan Mapunda. Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa kaskazini Unguja amewataka madereva kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepukana na ajali.

15/08/2023, 17:35

Maafisa TRA, ZRA wafundwa Zanzibar

Na Ahmed Abdullah Maafisa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar ZRA na mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wametakiwa kuwa na lugha nzuri kwa wateja ili kuwa na mahusiano mazuri baina ya mlipakodi na mamlaka hizo. Naibu kamishna wa Mamlaka ya…

15/08/2023, 16:58

Sabra Machano arudishwa kazini

Na Ivan Mapunda. Aliyekuwa Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar  ZSSF Sabra Issa Machano amefutiwa mashtaka ya ubadhilifu wa fedha  wa bilioni 3 . Akizungumza na Zenj fm mkurugenzi wa taasisi ya Warrior Women Sabra Issa Machano amesema amepokea barua…

14/08/2023, 15:01

Wamiliki wa Mahotel wakumbushwa haki na wajibu wao wilaya ya Kati

Wamiliki wa Mahoteli wilaya ya Kati ametakiwa  kuzipitia  sheria na Kanunu za Serikali za Mitaa katika huduma ya uzoaji wa taka ili kuepusha migogoro baina yao na Baraza la mji. Wafanyabiasha wa Mahoteli Wilaya ya Kati wameshauriwa kuzisoma vyema Sheria…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group