Zenj FM

Recent posts

27/11/2023, 15:54

Jeshi la Polisi Zanzibar kutumia vifaa vya kidijitali

Na Omary Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad amesema Utendaji wa kusimamia Sheria wa Jeshi la Polisi lazima ubadilike kwa kujikita katika matumizi ya taaluma na vifaa vya kisasa ili kukabiliana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia yanaoendana na mabadiliko…

08/11/2023, 17:22

Fawe yawafikia wajasiriamali Kusini Unguja

Mafunzo hayo ni utekelezaji wa mradi wa kuwawezesha wanawake kiuchumi unaoendeshwa na FAWE ndani ya mkoa wa Kusini Unguja ambapo jumla ya wajasiriamali 723 wamefikiwa  kati ya hao wanawake ni 671 na wanaume ni 53. Na. Ahmed Abdulla. Wajasiriamali kutoka…

08/11/2023, 15:17

Wazanzibar watakiwa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura

Na Mary Julius. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jaji George Joseph Kazi amewataka wananchi walio timiza sifa za kupiga kura kujitokeza katika zoezi la uandikishaji kwenye daftari la kudumu la mpiga kura ili waweze kushiriki katika uchaguzi ujao wa…

25/10/2023, 17:26

Airpay Tanzania kuwa mkombozi wa uchakavu wa noti nchini

Na Mary Julius. Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Saada Mkuya Salum  amesema kuzinduliwa kwa mfumo wa kufanya malipo kwa njia ya mtandao wa Airpay Tanzania utaisadia noti za Tanzania kuwa katika mzunguko kwa muda mrefu. Waziri Saada  ameyasema…

06/10/2023, 14:35

Wanafunzi Pemba watakiwa kuitumia mitandao vizuri

Shirika la Save the Children Tanzania limetoa mafunzo kwa wanafunzi kisiwani pemba kwa lengo la kuwawezesha kupelekea ujumbe wao kwa viongozi wenye mamlaka kupitia jukwaa hilo la mikutano ya mtandaoni. Na Is-haka Mohammed. Kuwepo kwa jukwaa la kuwasiliana mtandaoni kumeelezwa…

02/10/2023, 15:48

Pemba waomba kuongezewa ATM

Katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, wateja wa benki ya NMB wametakiwa kutoa maoni yao kila wanapoona changamoto katika utoaji wa huduma kwa kupitia visanduku hivyo vya maoni . Na Is- haka Mohammed Afisa Mdhamin Ofisi ya Rais Ikulu…

01/10/2023, 18:56

Jumuiya ya Serikali za Mitaa Zanzibar yapata viongozi

Na Mary Julius Kaimu katibu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ALAT Muhammed Ahmed Maje amesema utekelezaji wa maendelo katika nchi hufanywa kwa kuanzia katika mamlaka za serikali za mitaa. Akizungumza wakati akifungua Mkutano wa uchaguzi wa jumuiya ya serikali za mitaa…

24/09/2023, 18:07

Kamishna wa Polisi Zanzibar atoa onyo wanaobambikia watu kesi

Ujenzi wa kituo cha Mkoani umekuja kufuatia kuchakaa kwa kituo cha polisi Mkoani ambacho kimerithiwa tokea wakati wa ukoloni na kinatumika hadi sasa. Na. Omary Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad amewataka wananchi kuacha tabia ya kutumia vituo…

24/09/2023, 15:08

Vijana Pemba waomba ajira ujenzi uwanja wa ndege

Wananchi waliopisha ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba kuanza kulipwa fidia mara baada ya kukamilika kwa tathmini. Na Is-haka Mohammed Kamati ya  muda ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  inayoratibu  masuala ya ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba imekutana…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group