Zenj FM
Zenj FM
13/06/2024, 15:58
Waziri wa Afya Zaznibar amesema baadhi ya tathmini za maambukizi mapya ya VVU zinaonyesha wanawake wameonekana na maambukizo mapya kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na wanaume, asilimia 3.0 ni wanawake na asilimia 0.7 ni wanaume. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia…
12/06/2024, 17:32
Na Omary Hassan Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi DCP Ramadhan Ng’anzi amesema Jeshi la Polisi linashirikiana na Taasisi nyengine zinazosimamia usalama barabarani kuweka mikakati ya kupunguza ajali za Barabarani ambazo zimekuwa zikileta madhara kwa…
12/06/2024, 17:00
Na Mary Julius. Siku ya uchangiaji damu duniani huadhimishwa kila Ifikapo juni 14 kila mwaka,kwa hapa Zanzibar Maadhimisho haya yatafanyika katika ofisi za Mpango wa taifa wa damu salama sebleni. Kuelekea siku ya uchangiaji damu duniani Waziri Wa Afya Zanzibar…
07/06/2024, 18:24
Na Mary Julius. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) inakadiriwa kuwa, kiasi ya watu 600,000,000 wanaugua kila mwaka kutokana na kula chakula kisicho salama ambapo kati ya hao watu laki nne na ishirini wanapoteza maisha. Katibu Mkuu…
07/06/2024, 17:15
NA Is-haka Mohammed. Pemba. Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa kaskazini Pemba wenye matatizo mbali mbali na hata wale wasiojihisi kuwa na matatizo kujitokeza kuweza kuchunguzwa afya zao. Micheweni na…
03/06/2024, 17:41
Na Mary Julius Wakazi wa shehia mwembe makumbi kwa muda mrefu wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama katika shehia hiyo hali iliyo sababisha mwakilishi wa jimbo la chumbuni kuwachimbia kisima katika eneo lao. Mwakilishi wa Jimbo…
02/06/2024, 16:28
Na Mary Julius. Mwenyekiti wa chama cha Act Wazalendo Na Makamu wa Kwanza wa Rais Othman Masoud amesema viongozi na watendaji wa serikali waliohusika na ubadhilifu wa mali za umma na ufisadi watafunguliwa mashtaka baada ya chama hicho kushika madaraka…
02/06/2024, 16:09
Na Is-haka Mohammed. Pemba Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Ali Issa Ali amewataka wazazi na walezi kuwalea vijana katika malezi bora ili kuwa na kizazi chenye maadili. Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Ali Issa Ali ametoa…
31/05/2024, 16:21
Na Mary Julius. Shilingi milioni nane zinatarajia kutumika katika ujenzi wa mtaro wa maji machafu katika shahia ya Mwembe makumbi. Akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa vya ujenzi wa mtaro ambao umekatika na kusababisha mvua ikinyesha maji machafu kuingia katika…
31/05/2024, 14:40
Na Mary Julius Fainali ya kombe la FA Tanzania Bara (CRDB Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa tarehe 02.06.2024 katika uwanja wa New Amaan Complex saa 2:15 usiku kati ya YANGA SC vs AZAM FC. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group