Zenj FM
Zenj FM
12 March 2024, 5:15 pm
Na Mary Julius. Katika kuhakikisha wananchi wanaofanya ibada za usiku katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan wanakuwa salama, Jeshi la Polisi laahidi kulinda watu na mali zao. Jeshi la polisi mkoa wa Kusini Unguja limejipanga kuimrisha ulinzi na…
11 March 2024, 5:12 pm
Na Mary Julius. Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahamoud amesema serikali inahitaji kuwa na akiba ya kutosha ya damu salama ili kuokoa maisha ya watu pale wanapokabiliwa na majanga. Akizungumza katika zoezi la uchangiaji damu huko kiwanja…
7 March 2024, 3:58 pm
“Endapo mwanamke atakuwa imara katika majukumu ya kila siku ataweza kuleta maendeleo makubwa katika jamii na nchi kwa ujumla”. Na.Mary Julius Wanawake wa Wilaya ya Kati Zanzibar wameshauriwa kuwa viongozi bora katika maeneo yao ya kazi pamoja na familia zao…
15 December 2023, 3:40 pm
Na Mary Julius. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar George Joseph Kazi amewataka wafanyakazi wa tume hiyo kuendelea kufanya kazi kwa mashirikiano na kutoa michango katika jumuiya za kikanda. Mwenyekiti ameyasema hayo katika hafla ya kukabidhi tuzo ya mjumbe aliyeshiriki…
13 December 2023, 3:47 pm
Na Is-haka Mohammed. Mamlaka ya Mapato Zanzibar(ZRA) Pemba imezindua mwezi wa kurejesha shukrani kwa mlipa kodi kwa kutoa elimu kwa wafanyabiashara na wananchi wa Manispaa ya Chake Chake juu kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti za Kielekronik. Katika uzinduzi…
30 November 2023, 6:16 pm
Licha ya utaoji wa elimu na hatuambalimbali zinazochukuliwa na SerIkali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya jamii kutambua haki, wajibu na usawa kwa watu wenye mahitaji maalum, bado inaonesha kuwa mwamko ni mdogo kutokana na baadhi ya jamii kuwa na…
29 November 2023, 1:52 pm
Jukumu la usalama wa wananchi si la Jeshi la Polisi pekee hivyo uwepo wa vikundi hivyo utasaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya kihalifu katika jamii. Na Omar Hassan. Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad amewataka wananchi…
29 November 2023, 1:30 pm
Amesema wao kama wakala wa serikali wa ukusanyaji wa kodi kila mwaka wamekuwa na utaratibu wa kurejesha shukurani kwa walipa kodi ili waone kwamba kodi wanayoitoa hurudi kwao kwa njia tofauti ikiwemo hiyo ya kutoa misaada ya kijamii. Na Is-haka…
27 November 2023, 7:31 pm
Kwa miaka mingi Zanzibar, vitendo vya ukatili wa kingono na ukatili wa kijinsia (SGBV) vimekuwa vikifanywa bila ya kuadhibiwa. Na Ivan Mapunda. Mwaka 2002 kwa mfano, TAMWA ilipokea ripoti kutoka Mahakama Kuu ikionesha 0% ya hatia dhidi ya kesi 200…
27 November 2023, 3:54 pm
Na Omary Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad amesema Utendaji wa kusimamia Sheria wa Jeshi la Polisi lazima ubadilike kwa kujikita katika matumizi ya taaluma na vifaa vya kisasa ili kukabiliana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia yanaoendana na mabadiliko…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group