Zenj FM

Recent posts

6 November 2024, 5:15 pm

Wanahabari Pemba waaswa kuandika habari za kuinua sauti za wanawake 

Na Is-haka Mohammed. Waandishi wa Habari kisiwani Pemba wameaswa  juu kuandika Habari zitakazosaidia kuwezesha kusikiika kwa sauti za wanawake zinazohusu mabadiliko ya tabia ya nchi  na athari zake, ili sauti za wanawake hao zipate kusikika na kuondokana na changamoto zinazojitokeza …

5 November 2024, 5:56 pm

Balozi Karume alia na ukuta unaozuia njia ya kuingia kwake

Na Mwandishi wetu Mtoto Rais wa kwanza wa Zanzibar Balozi Ali Karume amesema haikuwa muafaka barabara ya kuelekea nyumbani kwa marehemu  mzee Karume kufugwa na kuanzishwa mradi wa ujenzi kiwanja cha michezo katika eneo la Maisara Zanzibar. Balozi karume amesema…

4 November 2024, 3:26 pm

Miaka 4 ya Dk Mwinyi makusanyo ya kodi yaimarika ZRA

NA Is- haka Mohammed. Mamlaka ya Mapato Zanzibar,ZRA imesema ongezeko la ukusanyaji wa mapato umekuwa ukiimarika kila mwaka tokea kuangia madarakani kwa Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi mwaka 2020. Akitoa taarifa ya makusanya…

3 November 2024, 3:18 pm

Majengo ya Mjerumani yazua mzozo Zanzibar

Na Mwandishi wetu Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) limetangaza kuwaondoa na kuwahamisha  wakaazi wanaoishi kwenye majengo yaliyojengwa na iliyokuwa serikali ya Ujerumani Mashariki Zanzibar  kwa miaka  sitini sasa kwa madai ya kutaka kuvunjwa ili kupisha uwekezaji  mpya. . Mgogoro  umezuka…

23 October 2024, 5:29 pm

Cp. Hamad ahimiza kufanya kazi kwa kushirikiana

Na Omar Hassan. Kamishna wa Polisi Zanzibar Cp. Hamad Khamis Hamad amefunga mafunzo ya Usalama wa Mazingira na Uchumi wa Bluu na kuhimiza kufanya kazi kwa kushirikiana baina ya Vikosi vya Ulinzi na jamii kufikia malengo na Matarajio ya Serikali…

23 October 2024, 4:46 pm

Wadau wa mabadiliko ya tabia ya nchi wakutana Zanzibar

Waziri wa nchi ofisi ya Makamo wa Kwanza wa  Rais Zanzibar Harusi Said Suleiman  amesema serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania  zimekuwa zikichukuwa hatua mbalimbali  za kuhimili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group