

2 December 2021, 2:51 pm
Na Fatma Ali Mohd:Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikishirikiana na Shirika lisilo la kiserikali Pharm Access linaandaa mikakati ya kuhakikisha Zanzibar inaanzisha mfuko wake wa huduma…
30 November 2021, 12:55 pm
Na Mary Julius: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman, amewataka wajasiri amali hasa vijana kuzalisha bidhaa zenye ubora zinazoweza kuhimili ushindani wa soko la biashara nchini. Othman ameyasema hayo alipozungumza katika hafla ya kukabidhi ruzuku za…
24 November 2021, 1:26 pm
Na Thuwaiba Mohd: Afisa uhusiano wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za maji na nisharti Zanzibar ZURA Hassan Juma Amour amewataka wasimamizi wa vituo vya mafuta sheli kutoruhusu mtowa huduma kujaza mafuta kwenye gari ikiwa na abiria ili kuepusha athari…
22 November 2021, 2:17 pm
Na Mary Julius na Thuwaiba Mohd: Jumuiya ya wavuvi na wasafirishaji wa watalii forodhani mchanga wameiomba serikali kuangalia upya suala la chabanca kuhusu kuweka meza ya kutoza kodi katika eneo la forodhani. Kauli hizo imefuatia baada ya kampuni ya chabanca…
17 November 2021, 1:45 pm
Na Mary Kitipwi:Mratibu wa mpango wa kunusuru kaya masikini unguja TASAF Makame Ali Haji amesema serikali ya mapinduzi imetoa nafasi kwa wale wote wenye sifa za kuingizwa katika maradi wa kaya maskini ambao majina ya yamekatwa katika awamu ya kwanza…
16 November 2021, 2:06 pm
Na Thuwaiba Mohammed Waziri wa afya ustawi wa jamii wazee jinsia na watoto Zanzibar Nasor Ahmed Mazrui amewataka wazanzibar kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya uviko 19 ili kujikinga na ugonjwa huo. Waziri Mazrui ametowa wito huo na kusema wananchi…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group