Zenj FM

Recent posts

21/03/2025, 17:23

Walimu Wilaya ya Kati wahimizwa kufanya tathmini mara kwa mara

Wilaya ya Kati. Walimu wanatakiwa kufanya tathmin mara kwa mara ili kufahamu wapi kuna Changamoto ili kuweza kuzitatua Changamoto hizo mapema kabla ya kufika muda wa kufanya mitihani ya Taifa. Hayo ameyasema Afisa Taaluma Sekondari Wilaya ya Kati HAMDU ZUBEIR…

21/03/2025, 16:28

Wanahabari Zanzibar kuhamasisha ushiriki wa wanawake katika uongozi

Na Berema Nassor. Wandishi wa habari visiwani Zanzibar wametakiwa kutumia kalamu zao vizuri katika kuwahamasisha wanawake kushiriki nafasi mbali mbali za uongozi. Mwenyekiti wa Bodi ya TAMWA Zanzibar Asha Abdi ameyasema hayo wakati wakiadhimisha siku ya wanawake duniani huko katika…

20/03/2025, 15:25

Baraza la Manispaa Mjini latoa onyo kwa wafanyabiashara wa vyakula

Na Kulwa Baraza la Manispaa Mjini limewataka wafanya biashara wa vyakula kuzingatia sheria na kanuni za kufanya biashara hiyo kwa kukaa katika maeneo walio pangiwa nakuacha kufanya biashara hiyo katika maeneo ya pembezoni mwa barabara. Afisa Afya na Mazingira wa…

19/03/2025, 17:13

Ajali yaua watatu na kujeruhi 15 Tunguu

Watu watatu wamefariki dunia na wengine kumi na tano (15) kujeruhiwa mara baada ya gari walokuwa wakisafiria kupata ajali huko Maeneo ya Tunguu Car wash. Akithibitisha kutokea ajali hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa…

14/03/2025, 17:01

Wanawake watakiwa kulinda watoto dhidi ya udhalilishaji kwenye biashara

Na Mary Julius. Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Siti Abasi Ali, amesema mafunzo ya ujasirimali yamesaidia kuhamasisha wanawake na vijana kujikwamua kimaisha kupitia sekta ya ujasiriamali.Ameyasema hayo katika mafunzo yaliyotolewa kwa wanawake na vijana wajasirimali,…

08/03/2025, 18:47

Wafanyabiashara Kibanda Maiti walia na kutuama kwa maji

Na Kulwa Suleiman Wafanyabiashara wa soko la Kibanda Maiti wameiomba serikali kutengeneza miundo mbinu ya soko hilo ili kuzuia maji kutuwama katika maeneo ya biashara.Wafanyabiashara wameyasema hayo walipo zungumzana na zenji fm wamesema miundo mbinu ya soko hilo si rafiki…

07/03/2025, 18:05

Polisi Kusini Unguja kuimarisha ulinzi uandikishaji wa wapigakura

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP. Daniel Shillah amesema Jeshi la Polisi katika Mkoa huo limejipanga kuimarisha ulinzi katika zoezi la Uandishaji wa wapigakura ili kuweka mazingira ya utulivu kwa wanaojiandikisha na wananchi…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group