

23 August 2023, 2:53 pm
Na Ahmed Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema pamoja na kupiga vita dhidi ya matukio ya udhalilishaji na ukatili kwa wanawake na watoto lakini bado matukio hayo yanaongezeka kila siku. Kwa mujibu wa takwimu za makosa ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kutoka…
21 August 2023, 2:38 pm
Chama cha Cuf Pemba imekitupia lawama chama cha Act Wazalendo kwa kushindwa kuisimamia Serikali ya Mapinduzi ya zanzibar katika swala zima la upandaji wa bei za bidhaa hasa vyakula. Na. Is-haka Mohammed Pemba. Chama cha Wananchi CUF kimetoa lawama kwa…
18 August 2023, 3:56 pm
Mkuu wa wilaya ya Magharibi B Hamida Mussa Khamis, amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wakiwemo wa matunda na mbogamboga kwenda kufanya biashara zao katika masoko ya muda yaliyopangwa na serikali ikiwemo Kwerekwe C, Kwerekwe Sheli pamoja na Soko la Jumbi. Na…
16 August 2023, 12:10 pm
Na Ivan Mapunda. Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa kaskazini Unguja amewataka madereva kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepukana na ajali.
15 August 2023, 5:35 pm
Na Ahmed Abdullah Maafisa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar ZRA na mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wametakiwa kuwa na lugha nzuri kwa wateja ili kuwa na mahusiano mazuri baina ya mlipakodi na mamlaka hizo. Naibu kamishna wa Mamlaka ya…
15 August 2023, 4:58 pm
Na Ivan Mapunda. Aliyekuwa Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Sabra Issa Machano amefutiwa mashtaka ya ubadhilifu wa fedha wa bilioni 3 . Akizungumza na Zenj fm mkurugenzi wa taasisi ya Warrior Women Sabra Issa Machano amesema amepokea barua…
14 August 2023, 3:01 pm
Wamiliki wa Mahoteli wilaya ya Kati ametakiwa kuzipitia sheria na Kanunu za Serikali za Mitaa katika huduma ya uzoaji wa taka ili kuepusha migogoro baina yao na Baraza la mji. Wafanyabiasha wa Mahoteli Wilaya ya Kati wameshauriwa kuzisoma vyema Sheria…
14 August 2023, 1:54 pm
Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imetembelea bandari ya Mkoani Pemba na kushuhudia madadiliko katika bandari hiyo ikiwemo katika njia ya kupitia abiria ambapo sasa abiria wanaweza kupita bila ya kupigwa na jua au mvua inaponyesha. Na Is-haka Mohammed…
13 August 2023, 4:40 pm
Katika kuhakikisha watoto wanakuwa kwenye maadili, wazazi hawana budi kutenga muda wa kuwasikiliza na kuwa karibu nao ili kujenga jamii bora ya badae. Na. Is-haka Rubea Wazazi na Walezi wameombwa harakati zao za kutafuta maisha zisiwanyime muda wa kukaa na…
13 August 2023, 4:08 pm
Kituo hicho cha polisi Tumbatu chenye hadhi ya daraja “c” kinatarajiwa kuwa mkombozi kwa wananchi wa kisiwa hicho. Na Said Bakari. Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amesema kukamilika kwa mradi wa kituo cha Polisi katika Kisiwa cha Tumbatu kutapelekea…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group