Zenj FM

Recent posts

11 February 2025, 7:01 pm

Wanawake wanasiasa waomba kampeni za siasa 2025 zisiwe na chuki na matusi

Ivan Mapunda. Kampeni ni sehemu au uwanja wenye changamoto kubwa kwa wanawake wanaotafuta nafasi za uongozi. Mbali na changamoto za kawaida za kisiasa, wanawake hukabiliana na tatizo kubwa la matamshi ya chuki, udhalilishaji, na matusi ya kijinsia yanayolenga kudhoofisha heshima…

7 February 2025, 4:51 pm

Watendeji wa Dawati la Jinsia wametakiwa kujituma

Na Omar Hassan Watendaji wa Madawati ya Jinsia na watoto ya Jeshi la Polisi wametakiwa kuongeza nguvu katika kushughulikia Kesi za Udhalilishaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto ili kudhibiti matukio hayo na kuifanya jamii ibaki salama.Akifungua mafunzo ya…

6 February 2025, 4:37 pm

Wazee CCM Zanzibar watoa pongezi kwa Rais Dkt. Samia, Dkt. Mwinyi

Na Mary Julius Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar limesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inamipango mizuri kwa wananchi kwa kuweka mikakati madhubuti ya kuondoa tatizo la njaa nchini pamoja na umaskini.Akizungumza na waandishi wa habari huko Ofisi…

3 February 2025, 4:46 pm

Baraza la Mji Kati lavuka malengo ya ukusanyaji wa kodi

Wilaya ya Kati. Baraza la Mji Kati limefanikiwa kukusanya Jumla ya Shilingi Milioni 400, Sitini na mbili elfu, laki Moja na Saba, Mia nne na 93 sawa  asilimia 100.1 4 za makusanyo ya ndani ya baraza hilo kwa mwaka 2024/2025.Mkurugenzi…

3 February 2025, 4:17 pm

Mratibu wa Vikoba Unguja amewataka wanavikundi kurejesha mikopo kwa wakati

Na Mary Julius. Mratibu wa vikoba unguja Catherine Ifanda amewataka wanawake waliopo katika vikundi kuhakikisha wanakopa mikopo kwa malengo ya kufanya maendeleo katika jamii.Mratibu ameyasema hayo katika ziara ya matembezi iliyo andaliwa na kikundi cha kikoba cha St Joseph mama’s…

30 January 2025, 2:12 pm

Makarani uandikishaji kisiwani Pemba watakiwa kushirikiana na wananchi

Na Mary Julius. Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina amewataka makarani wa uandikishaji kisiwani Pemba kuwa na ushirikiano na wananchi wanaofika vituoni kuandikishwa sambamba na kutumia lugha fasaha.Mkurugenzi ameyasema hayo katika mafunzo kwa watendaji wa uandikishaji…

29 January 2025, 6:34 pm

Uboreshaji wa makazi ya askari kuchagiza huduma bora

Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Kombo Khamis Kombo akikagua miradi ya ujenzi na ukarabati wa majengo ya Vituo na nyumba kwa ajili ya maakazi ya Askari Na Omar Hassan. Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Kombo Khamis Kombo amekagua miradi ya…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group