Recent posts
6 October 2022, 1:34 pm
Vikundi ni Njia ya Maendeleo kwa Jamii
NA: Mary Julius na Thuwaiba Mohd : Mwakilishi wa jimbo la Paje Soud Nahodha Hassan wamewataka wakinamama kujiunga kwenye vikundi vya ujasiriamali ili kuweza kusaidiawa katika kujiletea maendeleo na kujikwamua kiuchumi. Akizungumaza mara baada ya kuzindua na kukabidhi kisima cha…
4 February 2022, 5:05 pm
Kaskazini A Unguja na Micheweni Pemba, kunufaika na Pharm Acces
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee na Watoto Nassor Ahmed Mazrui amesema wizara ya afya itaendelea kushirikiana na mashirika binafsi ili kuweza kuwasaidia wananchi wa visiwa vya Zanzibar. Akizungumza katika makabidhiano ya kupokea vifaa vya kuboresha huduma za afya…
4 February 2022, 4:37 pm
Mamlaka ya maji Zanzibar ZAWA yapata ufumbuzi wa Tatizo la maji Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar ZAWA Dr Salha Mohammed Kassim amesema mamlaka ya maji zanzibar itahakikisha inajenga visima vya maji safi na salama katika maeneo yote ya unguja na pemba. Akizungumza katika hafla ya utiaji wa saini wa …
8 December 2021, 2:37 pm
WaTanzania wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini
Na Mary Kitipwi na Thuwaiba Mohd:Watanzania wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini ili kukuza biashara Tanzania na kufikia uchumi wa viwanda. Akizungumza na zenj fm mjasiriamali wa kusarifu Spice mbali mbali kutoka Fuoni kisiwani Unguja Fatma Mohd Fadhili amesema ni vyema…
2 December 2021, 2:51 pm
Pharm Access waleta neema Zanzibar
Na Fatma Ali Mohd:Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikishirikiana na Shirika lisilo la kiserikali Pharm Access linaandaa mikakati ya kuhakikisha Zanzibar inaanzisha mfuko wake wa huduma…
30 November 2021, 12:55 pm
Wajasiriamali zanzibar watakiwa kuzalisha bidhaa zenye ubora
Na Mary Julius: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman, amewataka wajasiri amali hasa vijana kuzalisha bidhaa zenye ubora zinazoweza kuhimili ushindani wa soko la biashara nchini. Othman ameyasema hayo alipozungumza katika hafla ya kukabidhi ruzuku za…
24 November 2021, 1:26 pm
Madereva wa daladala watakiwa kutoingia na abiria sheli
Na Thuwaiba Mohd: Afisa uhusiano wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za maji na nisharti Zanzibar ZURA Hassan Juma Amour amewataka wasimamizi wa vituo vya mafuta sheli kutoruhusu mtowa huduma kujaza mafuta kwenye gari ikiwa na abiria ili kuepusha athari…
22 November 2021, 2:17 pm
Wasafirishaji wa watalii forodhani kwenda visiwani walia na tozo ya chabanca
Na Mary Julius na Thuwaiba Mohd: Jumuiya ya wavuvi na wasafirishaji wa watalii forodhani mchanga wameiomba serikali kuangalia upya suala la chabanca kuhusu kuweka meza ya kutoza kodi katika eneo la forodhani. Kauli hizo imefuatia baada ya kampuni ya chabanca…
17 November 2021, 1:45 pm
Walokosa kuingizwa kaya maskini watakiwa kukata rufaa.
Na Mary Kitipwi:Mratibu wa mpango wa kunusuru kaya masikini unguja TASAF Makame Ali Haji amesema serikali ya mapinduzi imetoa nafasi kwa wale wote wenye sifa za kuingizwa katika maradi wa kaya maskini ambao majina ya yamekatwa katika awamu ya kwanza…
16 November 2021, 2:06 pm
Wazanzibar watakiwa kuchanja chanjo ya uviko 19
Na Thuwaiba Mohammed Waziri wa afya ustawi wa jamii wazee jinsia na watoto Zanzibar Nasor Ahmed Mazrui amewataka wazanzibar kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya uviko 19 ili kujikinga na ugonjwa huo. Waziri Mazrui ametowa wito huo na kusema wananchi…