Zenj FM

Recent posts

29 March 2025, 6:21 pm

Polisi Kusini Unguja kuimarisha ulinzi sikukuu ya Eid-el-fitr

Na Omar Hassan Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja litaimarisha ulinzi katika maeneo yote ya Mkoa huo kipindi cha Sikukuu ya Eid El Fitri ili wananchi washeherekee sikukuu hiyo kwa salama na Amani. Akizungumza na waandishi wa habari huko…

28 March 2025, 7:19 pm

Hoogan: CHADEMA wamechelewa kudai tume huru ya uchaguzi

Na Mwandishi wetu. Mwanasiasa na Mbunge wa zamani jimbo la Kikwajuni Parmukh Singh Hoogan amesema wakati umefika na jamii ndogo ndogo kushilikishwa katika nafasi za uteuzi katika kuimalisha umoja wa Kitaifa. Singh amesema hayo alipokuwa akizungumzia uchaguzi mkuu na nafasi…

28 March 2025, 5:19 pm

Halotel yakabidhi madawati skuli ya Kibweni

Mary Julius. Katika kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya nane katika sekta ya elimu, Halotel wamekabidhi madawati kwa skuli ya Kibweni.Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo yaliyofanyika katika skuli ya Kibweni, iliyopo Mtoni, wilaya ya Magharib A, Naibu…

27 March 2025, 1:58 pm

Mtoto wa miaka 14 ambaka mtoto wa mwaka mmoja na nusu

Na Omar Hassan. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kubaka watoto katika matukio mawili tofauti.Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu, Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamanda wa Polisi Mkoa…

26 March 2025, 4:43 pm

Madiwani wa Wilaya ya Magharib B watakiwa kuwa mabalozi wa ZHSF

Na Thuwaiba Mohammed. Madiwani wa Wiaya ya Magharib B wametakiwa kuwa mabalozi kwa wananchi katika wadi zao juu ya matumizi na faida za utumiaji wa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar ZHSF.Mstahiki Meya wa Baraza la Manispaa ya Wilaya ya…

25 March 2025, 2:56 pm

Pemba waomba ligi ya mpira wa pete

Na Is-haka Mohamed Kutokuwepo kwa mashindano ya aina mbalimbali kunaelezwa kuhatarisha kutoweka kabisa kwa mpira wa pete (Netball) kisiwani Pemba. Hayo yameelezwa na baadhi ya wachezaji wa mpira huo katika timu ya Mchangamdogo Centre wakati walipotembelewa na timu ya waandishi…

24 March 2025, 5:49 pm

DCI kupambana na madereva wazembe Zanzibar

Na Said Naibu Mkurugenzi wa Upelelzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi Zuberi Chembera amewataka Askari Polisi kuwajibika na kuhakikisha wanasimamia sheria za usalama barabarani ili kupunguza vifo na majeruhi yanayosababishwa na ajali za barabarani. Ameyasema hayo…

24 March 2025, 3:55 pm

Hoogan ahoji viongozi kutoa sadaka kwa dhehebu moja la dini Zanzibar

Na Mwandishi wetu. Mwanasiasa mkongwe na mbunge wa zamani jimbo la Kikwajuni Parmukh Singh Hoogan amesema sio muafaka kiongozi kutoa sadaka kwa dhehebu moja la dini na kuacha mengine wakati wewe kiongozi wa Taifa. Singh amesema alipokuwa akizungumzia tatizo la…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group