Zenj FM
Zenj FM
16 April 2025, 5:31 pm
Na Mary Julius. Wafanyabiashara wa Soko la Mwanakwerekwe wameiomba Serikali kumsimamia muwekezaji wa Soko hilo kuimarisha ulinzi na Usalama wa vyombo vyao katika maeneo ya maegesho ili kuweza kufanya biashara bila ya kuwa wa wasiwasi wa usalama wa vyombo vyao.Wakizungumza…
16 April 2025, 4:09 pm
Na Mary Julius. Katika kuhakikisha wanawake na watu wenye ulemavu wanashiriki kamilifu katika kuwania nafasi za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Chama cha Makini kimetangaza kutoa fomu bure kwa watia nia wanawake na watu wenye ulemavu watakaotaka kugombea…
14 April 2025, 3:15 pm
Na Mary Julius. Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Halotel, Roxana Kadio, amesema kampuni hiyo imejikita katika kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora, kwa kuwajali watumiaji wa mtandao huo hususan waliopo Zanzibar.Akizungumza katika tamasha la muendelezo wa uzinduzi…
14 April 2025, 2:05 pm
Na Said Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia mtuhumiwa Abdallah Ramadhan Mnolwa (24) Mdigo wa Iringa kwa kosa la kutoa taarifa za uongo.Akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Madema , Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa…
11 April 2025, 4:23 pm
Na Berema Suleiman Nassor Kuzinduliwa kwa Programme ya Mobile Youth Space na Amani ni Tunu,Vijana Tuienzi itaweza kusaidia kuimarisha ushiriki wa upatikanaji wa taarifa kwa vijana.Akizungumza na wandishi wa habari Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo…
11 April 2025, 3:32 pm
Na Mary Julius. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Wawekezaji wengi wa Uingereza wameonesha nia ya kuwekeza katika Kuliongezea thamani zao la Mwani kwa kuongeza Mnyororo wa Thamani pamoja na Uzalishaji wa…
4 April 2025, 4:35 pm
Na Mary Julius. Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Sharif Ali Sharif, amesema kuanza kutumika kwa mfumo wa kidijitali wa utoaji wa mikopo kwa makundi maalum 4.4.2 kutarahisisha upatikanaji wa mikopo, haraka na usalama. Ameyasema hayo…
2 April 2025, 4:15 pm
Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia Mudriki Abdalla Msham, mwenye umri wa miaka 21 kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 17.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa…
30 March 2025, 8:46 pm
Na Mary Julius. Jeshi la Mkoa wa kusini unguja limesema mtu mmoja, amefariki dunia kwa kupigwa na kitu butu kichwani huko Hanyengwa, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.Akizungumza na zenji fm Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kusini Unguja…
29 March 2025, 6:30 pm
Na Omar Hassan. Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Zuber Chembera amewataka Maafisa na Wakaguzi wa Polisi kutumia mafunzo mbalimbali wanayopatiwa kuondoa changamoto za kiusalama zilizopo kwenye jamii na kupunguza malalamiko ya…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group