Recent posts
24 September 2023, 4:37 pm
Waandishi wa habari Zanzibar wajengewa uelewa kamisheni ya ardhi
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Zanzibar Rahma Kassim Ali Amesema wizara hiyo inakabiliwa na changamoto ya migogoro ya ardhi licha ya kuwa na sheria nyingi za ardhi. Na Mary Julius. Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Rahma…
24 September 2023, 3:08 pm
Vijana Pemba waomba ajira ujenzi uwanja wa ndege
Wananchi waliopisha ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba kuanza kulipwa fidia mara baada ya kukamilika kwa tathmini. Na Is-haka Mohammed Kamati ya muda ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoratibu masuala ya ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba imekutana…
22 September 2023, 5:01 pm
Wafanyabiashara Pemba walalamikia kodi kubwa
Wafanyabiashara kisiwani Pemba wameiomba serikali kuwapunguzia kodi ili kuweza kunusuru biashara zao. Na Is-haka Mohammed. Wafanyabiashara kisiwani Pemba wamedai kuwepo kwa kodi kubwa kunatishia uhai wa biashara zao na kuiomba serikali kuangalia upya hali ya kodi wanazotoza ili kunusuru hali hiyo…
21 September 2023, 7:48 pm
Jeshi la Polisi Zanzibar kubadilika kiutendaji
Mafunzo ya mara kwa mara yanayotolewa kwa askari kuhusu haki za binadamu yataweza kuleta mabadiliko ya kiutendaji kwa Jeshi la Polisi Zanzibar. Na Omary Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad amesema Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar…
21 September 2023, 2:25 pm
Airpay Tanzania yaleta neema kwa wajasriamali Zanzibar
Na Mary Julius. Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhani Soraga amesema ujio wa kampuni ya Airpay Tanzania, Zanzibar itasaidia serikali kuwafikia wajasiriamali wadogo katika kupata fursa za mikopo na kutambulika. Soraga ameyasema hayo wakati akifungua…
12 September 2023, 1:28 pm
Taka kuwa biashara Zanzibar
Timu ya wataalam kutoka Jumuiya ya Mameya wa Afrika ya Kusini (AMALI) wametoa mafunzo namna ya kutenganisha taka ngumu na taka nyepesi. Na Mary Julius. Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Muhammed Mussa amevitaka vikundi vya usafi kutenga fungu kwa ajili…
10 September 2023, 2:19 pm
Wilaya ya Kusini Unguja yaomba nyumba za walimu
Na Mary Julius. Afisa Elimu Mkoa wa Kusini Unguja Mohammed Haji Ramadhani ameiomba wizara ya elimu kuwajengea nyumba walimu wa mkoa huo ili waweze kufika kwa wakati maskulini. Afisa elimu ameyasema hayo katika hafla ya kugawa taulo za kike zilizoteolewa…
10 September 2023, 1:47 pm
Wanafunzi wa kiume wilaya ya Kati Unguja wapewa mbinu kufikia ndoto zao
Na. Hakika Mwinyi Afisa Elimu wa Wilaya ya Kati Somoe Said amewataka wanafunzi wa kiume kujiepusha na vishawishi ili kuweza kutimiza malengo waliyojiwekea. Afisa Elimu ameyasema hayo katika ghafla ya kuwatunuku vyeti wanafunzi Wakiume 20 walio shiriki katika marathon iliyo…
7 September 2023, 5:07 pm
Asma Mwinyi arejesha matumaini kwa wanafunzi wa kike Zanzibar
Na Mary Julius Mkurugenzi wa Asma Mwinyi Foundation, Asma Ali Mwinyi amesema taasisi hiyo inaandaa mkakati wa kuweka mazingira rafiki kwa watoto wa kike kwa kuwajengea vyoo maskulini ili kuondoa changamoto zote zinazowakumba wanapo kuwa katika hedhi. Asma ameyasema hayo…
6 September 2023, 3:54 pm
Baraza la Mji Kati laonyesha mfano jinsi ya kutumia tozo
Na Mwandishi wetu. Wananchi wameshauriwa kusimamia maelekezo ya Serikali ikiwemo kudumumisha usafi katika maeneo ya makaazi wanayo ishi. Mkurugenzi wa Baraza la Mji Mkoani Pemba Yussuf Kaiza Makame ameyasema hayo katika ziara ya kimafunzo iliyo husisha Madiwani 10, Watendaji 7…