Zenj FM

Recent posts

9 May 2025, 4:41 pm

Mapambano dhidi ya saratani uchunguzi wa mapema ni silaha

“Uchunguzi wa mapema uliwasaidia kupata tiba kwa wakati, hali iliyowezesha matibabu kuwa na ufanisi mkubwa na hatimaye kupona kabisa saratani ya matiti“ Na Mary Julius Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani Zanzibar Dk Hellen Makwani ametoa wito kwa jamii, hasa…

7 May 2025, 6:44 pm

Makubaliano mapya kuleta mageuzi ya utalii Zanzibar

Mary Julius. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mudrick Ramadhan Soraga, amesema kwa kuwa utalii ni sekta yenye wadau wengi, wizara yake imeamua kusimamia ushirikiano wa pamoja ili kuondoa hali ya ushindani usiokuwa na tija na badala…

7 May 2025, 4:53 pm

Zaidi ya bilioni 380 kuboresha afya Zanzibar

Na Mary Julius. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji amesema serikali ya awamu ya nane ya rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi dk Hussein Ali Mwinyi katika kipindi cha miaka 4 imewekeza zaidi…

5 May 2025, 2:16 pm

Naibu Waziri Chillo atoa wito kwa wasanii kuenzi maadili ya kitanzania

Na Mary Julius. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Chillo, amewataka wasanii nchini kuhakikisha kazi zao za sanaa zinazingatia hulka, silka, na utamaduni wa Kitanzania, hususan wa Kizanzibari, pamoja na kuhimiza amani na mshikamano wa kitaifa. Akizungumza katika…

2 May 2025, 2:29 pm

Hatimaye Mv mapinduzi II yakaribia kurudi kazini

Na Kassim Salum Abdi. Kamati ya kudumu ya Baraza la Wawakilishi inayosimamia Mawasiliano, Ardhi na Nishati imesema imeridhishwa na matengenezo ya ukarabati wa Meli ya MV MAPINDUZI (II) iliopo nangani katika bandari ya Malindi. Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano, Ardhi…

25 April 2025, 5:13 pm

Dkt. Khalid atoa wito wadau wa uchukuzi kushiriki mkutano Zanzibar

Na Mary Julius. Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Dk. Khalid Salum Mohammed ametoa wito kwa wadau wa sekta ya uchukuzi nchini Tanzania, Afrika Mashariki na bara la Afrika kushiriki mkutano wa Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Mawakala wa…

24 April 2025, 6:43 pm

Jamii ishiriki kutokomeza malaria Zanzibar

Na Mary Jamii imetakiwa kuendelea kuzingatia njia za kujikinga na ugonjwa wa malaria kwa kuchukua tahadhari ili kuepukana ugonjwa huo.Wito umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Amour Suleiman wakati wa maadhimisho ya siku ya malaria yaliyofanyika Nungwi…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group