Recent posts
23 December 2023, 14:49
Mwamengo atoa mkono wa faraja kwa watoto yatima 36 wilayani Kyela
Mkurungenzi wa kampuni ya ujenzi ya Basai General Supplies Limited Baraka Mwamengo ametoa jumla ya shilingi laki nane kwa watoto yatima 36 wanaolelewa na familia ya mwalimu Mwakibinga hapa wilayani Kyela. Na James Mwakyembe Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka…
23 December 2023, 12:52
‘Cha Malawi’ chateketezwa Kasumulu
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Kyela imeteketeza jumla ya tani 154.28 za madawa ya kulevya aina ya bangi zilizokamatwa baada ya misako mbalimbali ya jeshi la polisi wialayni hapa. Na Nsangatii Mwakipesile Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine…
21 December 2023, 13:22
Kyela: Aliyeshinda rufaa ya kifungo cha maisha achukua fomu kugombea BAVICHA
Mshindi wa rufaa ya kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu amechukua fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa Balaza la Vijana Chadema BAVICHA wilaya ya Kyela na kuwaomba wajumbe kumchagua. Na James Mwakyembe Wakati uchaguzi wa ndani kwa ngazi ya wilaya…
18 December 2023, 12:54
Kyela:Kinanasi kutunukiwa Uchifu wilaya ya Kyela
Mbunge wa jimbo la Kyela Ally Mlaghila Jumbe Kinanasi anatarajiwa kuvikwa uchifu na jumuaiya ya wazee wa kimila wilaya ya kyela katika tukio litakalofanyika desemba 28 mwaka huu. Na Masoud Maulid Umoja wa wazee wa kimila maarufu Machifu na wasaidizi…
16 December 2023, 11:40
Mwalusangani awalilia wadau kukamilisha ujenzi zahanati ya Nkuyu
Wadau wa maendeleo wilayani Kyela wameombwa kusaidia ujenzi wa zahanati ya Nkuyu iliyokwama kumalizika kutokana na ufinyu wa bajeti. Na James Mwakyembe Baada ujenzi wa zahanati ya Nkuyu kukwama kumalizika kwa wakati uliopangwa diwani wa kata ya Nkuyu Hezron Mwalusangani…
16 December 2023, 11:27
Mfungata:Tutaendelea kujenga lami zaidi Kyela
Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Samia Suluhu Hasani imepanga kujenga barabara zinazogawa mitaa ndani ya Wilaya ya kyela katika bajeti ya 2023-2024. Na Nsangatii Mwakipesile Wakati serikali ikiendelea kutekeleza Miradi mbalimbali hapa nchini mhandisi wa TARURA Karim Mfungata ametoa…
13 December 2023, 16:48
Mwinuka: Asante serikali Mwangany’anga imekuwa jicho la Kyela
Diwani wa kata ya Mwangany’anga wilayani Kyela Alex Mwinuka ameishukuru serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa ujenzi wa kipande cha barabara kinachojengwa kwa kiwango cha lami katika kata hiyo. Na Nsangatii Mwakipesile. Wakati serikali ikiendelea na jitihada za…
12 December 2023, 17:10
Katule: Wazazi ni aibu mtoto kukosa mahitaji muhimu ya shule kisa krismasi
Wazazi na walezi wilayani Kyela wametakiwa kuweka akiba kwa ajili ya watoto wao kwenda shule mwezi Januari kwani ni jambo la aibu mtoto kushindwa kwenda shule kwa sababu ya krismasi. Na Nsangatii Mwakipesile Kuelekea kuhitimisha mwaka wa 2023 mwenyekiti wa…
12 December 2023, 16:48
Kibanda:Tumejipanga kuhakikisha kila raia anasherehekea kwa usalama krismasi na…
Jeshi la polisi wilayani Kyela limewataka wananchi wote kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya kwa utulivu na amani. Na James Mwakyembe Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka krimasi na mwaka mpya Jeshi la Polisi wilayani Kyela limewataka wananchi wote…
11 December 2023, 16:29
Kyela:”Tunaogopa kuingia mtoni kisa mamba”
Baadhi ya wananchi wanaouzunguka mto mbaka hapa wilayani Kyela wameiomba serikali ya halmashauri ya wilaya kyela kuwavuna mamba wanaongezeka kwa kasi katika mto mbaka. Nsangatii Mwakipesile Kufuatia ongozeko la wanyama aina ya mamba ndani yam to mbaka hapa wilayani Kyela…