Recent posts
10 May 2024, 18:21
Waziri Mkuu ziarani Kyela
“Tupo tayari kumpokea waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ili aje aone namna fedha za zinazotolewa na raisi samia jinsi zinavyofanya kazi za maendeleo hapa wilayani”. Na Masoud Maulid Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kasim…
8 May 2024, 17:57
Kyela: Mwakalile aililia TARURA Bujonde
Baada ya kuharibika kwa miundombinu ya barabara katika kata ya Bujonde hapa wilayani kyela diwani wa kata hiyo Aloyce Mwakalile ameiomba serikali kupitia wakala wa barabara mijini na vijijini kukarabati karavati la Isanga. Na Nsangatii Mwakipesile Kutokana na mafuriko yaliyo…
8 May 2024, 17:29
21180 wapatiwa chanjo saratani mlango wa kizazi Kyela
Wakati wa serikali na wadau mbalimbali wa afya kitaifa na kimataifa wakiendelea na juhudi za kutokomeza ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi jumla ya wasichana elfu ishirini na moja mia moja themanini wamepatiwa chanjo ya ugonjwa huo hapa wilayani…
7 May 2024, 19:20
Kyela: CHADEMA stop msaada wa kukarabati barabara Masebe
CHADEMA wilaya ya Kyela kimezuiwa kuendelea kutoa msaada wa kukarabati barabara ya kijiji cha Masebe iliyoharibiwa na mafuriko hapa wilayani Kyela. Na James Mwakyembe Siku chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuanza kutekeleza ahadi ya kumwaga tripu…
7 May 2024, 18:24
Najivunia Kyela yetu Festival 2024 sasa rasmi Kyela
Siku chache baada ya kuanza kutekeleza majukumu yake ya kusaidia jamii ya Kyela kikundi cha Najivunia Kyela Yetu kimezinduliwa rasmi ndani ya Kyela huku kikiweka mikakati yake kwa mwaka 2024. Na Nsangatii Mwakipesile Kikundi cha Najivunia Kyela Yetu Festival chenye…
6 May 2024, 14:18
108 wakabidhiwa vyeti vya udereva Kyela
Katika kukabiliana na ajali za barabarani jeshi la polisi mkoa wa Mbeya limetoa vyeti kwa wahitimu miamoja na nane hapa wilayani kyela mbele ya mgeni rasmi afande RTO H.A Gawile. Na Nsangatii Mwakipesile Mrakibu wa jeshi la polisi kitengo cha…
6 May 2024, 13:29
Ikimba yalamba manoti ya Babylon Mwakyambile
Mkurugenzi wa kampuni ya Covenant Edible Oil Ltd wazarishaji wa mafuta ya kyela Cooking Oil na Sungold Cooking Oil Babylon Mwakyambile amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya Ikimba kushikamana ili kufanikisha ujenzi wa ofisi za chama hicho. Na…
30 April 2024, 14:10
Kyela:Madaktari na wauguzi wazembe sasa kukiona chamoto
Katika kuhakikisha kwamba huduma bora za afya zinapatikana katika zahanati,vituo vya afya na hospitali ya wilaya ya kyela serikali imekusudia kuwaondoa kazini watumishi wote walio na lugha mbaya ya matusi kwa wagonjwa hapa wilayani Kyela. Na James Mwakyembe Ziara ya…
19 April 2024, 20:35
152 wahitimu kitado cha sita,16 washindwa kutokana na utoro Kyela day
Mdau wa maendeleo na mkurugenzi wa kampuni ya Basai General Suplies Ltd Baraka Mwamengo ametoa jumla ya shilingi milioni moja na kuahidi kuwapatia mashine nyingine mpya ya kisasa kwaajiri ya kuchapia mitihani shuleni hapo ili kuondokana na kadhia hiyo. Na…
17 April 2024, 14:43
Waathirika wa mafuriko Kyela washikwa mkono na Babylon
Mkuu wa Wilaya ya Kyela Josephine Manase amemmwagia sifa mkurgenzi wa kiwanda cha mafuta ya kupikia cha Covenant Edible Oil oili Babylon Mwakyambile kwa kuwa wa kwanza kutoa misaada kwa wahanga wa mafuriko. Na Emmanuel Jotham Mkuu wa Wilaya ya…