Recent posts
17 September 2023, 15:37
Vikoba vyawa mkombozi kwa wanawake wilayani Kyela
Vikoba wilayani Kyela vimetajwa kuwa chanzo kikuu cha kuinua uchumi kwa wanawake na kupelekea kujikwamua kiuchumi na kuwa tegemezi kwenye familia. Na Secilia Mkini Imeelezwa kuwa vikoba kwa wanawake ni njia mojawapo inayoinua uchumi kwa wanawake kwani huwasaidia katika kuendesha…
14 September 2023, 19:21
Kinanasi: Yajayo Kyela yanafurahisha
Mbunge wa Jimbo la Kyela Ally Mlagila Jumbe Kinanasi ameahidi kutekeleza mambo yote yaliyoombwa na wananchi wa kata ya Bujonde ikiwemo barabara ya kutoka Bujonde kwenda Nyerere ndani ya kata hiyo. Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi katika…
13 September 2023, 10:25
Kikao cha kamati ya tathmini chanjo ya polio chafanyika wilayani Kyela
Kamati ya tathmini ya ugonjwa wa polio imeketi na kujadili masuala mbalimbali ya maandalizi kuelekea zoezi la chanjo ya polio ikiwemo namna ya kuwafikia watoto hasa wenye umri chini ya miaka minane. Na Secilia Mkini Kikao cha mafunzo dhidi ya…
12 September 2023, 12:31
Kuvunjika kwa ndoa chatajwa kuwa chanzo cha wimbi kubwa la watoto mitaani
Uwepo wa migogoro mingi baina ya wanandoa imepelekea ndoa nyingi kuvunjika imetajwa kuwa ni sababu kubwa inayo sababisha uwepo wa watoto wa mitaani ambao wanakosa kuwa na makazi maalumu. Na mwandishi wetu james mwakyembe Kuvunjika kwa ndoa, malezi duni pamoja…
12 September 2023, 10:58
Jinsi teknolojia ya habari, inavyo weza kuinua uchumi kwenye vituo vya radio
Wandishi wa habari nyanda za juu kusini,wametakiwa kutumia Radio mtandao ili kufikisha habari kwenye jamii.na kuweza kuwafikia wadau kutoka sehemu mbalimbali nje na ndani ya Tanzania pamoja na kujipambambanua katika masoko ili kuinua uchumi kwenye vyombo vyao vya habari Na…
11 September 2023, 12:51
Wazazi wilayani Kyela wahimizwa kuwapeleka watoto kliniki
Katika jitihada za kuhakikisha watoto wanakuwa na afya bora, katibu wa watoa huduma za afya kwa watoto wilaya ya Kyela Bakari Samson amewaasa wazazi na walezi kuhakikisha watoto wanapelekwa kliniki Na Secilia Nkili Imeelezwa kuwa kutompeleka mtoto mwenye umri chini…