Recent posts
10 September 2025, 16:03
Mhandisi Kasekenya aanza kampeni za ubunge Ileje
“Ukichagua CCM umechagua afya bora,barabara nzuri,maji salama,elimu na umeme vijijini” Na James Mwakyembe Mamia ya wananchi wamejitokeza katika uzinduzi wa kamapeni za kumnadi mgombea wa ubunge kupitia chama cha Mapinduzi CCM jimbo la Ileje mkoani Songwe Mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya…
30 July 2025, 17:17
Kyela:Tusegelile wawafikia walemavu Kyela Msingi
“tusiwafiche nyumbani watoto wenye ulemavu,wakifundishwa wanaweza kufanya kwa utimamu” Na James Mwakyembe Kikundi cha watu wa Rungwe waishio Kyela Tusegelile Group wametembelea na kutoa misaada ya kiutu kwa watoto wenye uhitaji maalumu katika shule ya msingi kyela, ili kuwafariji na…
20 June 2025, 17:19
Mwakyambile awamwagia fedha UVCCM Kyela
Jumla ya shilingi milioni moja na laki tatu zimekabidhiwa kwa uongozi wa jumuiya ya vijana wilaya ya kyela kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba ya katibu wa jumuiya hiyo. Na James Mwakyembe Siku moja baada ya mdau wa maendeleo na…
19 June 2025, 13:09
Babylon: Hakuna kulala mzigo wakabidhiwa
Jumla ya Mbao miamoja na arobaini zimekabidhiwa kwa jumuiya ya wazazi ili kukamilisha ujenzi wa nyumba ya katibu Na James Mwakyembe Hatimaye mdau wa maendeleo na mkurugenzi wa kiwanda cha mafuta ya kula Covenant Edible Oil Babylon Mwakyambile wake wa…
19 June 2025, 12:37
Mwahula: Nilitoroka nyumbani miaka miwili
Jamii wilayani Kyela imetakiwa kuacha tabia ya kuwafungia watoto wenye ulemavu ndani na kuwanyima haki zao za msingi. Na James Mwakyembe Kutana na Siza Mwahula mlemavu wa viungo ambaye anasimulia maisha yake jinsi alivyoondokana na utegemezi kwa familia na hata…
13 June 2025, 17:09
Jumuiya wazazi Kyela yampiga jeki Rais Samia
Jumuiya ya wazazi wilaya ya Kyela imetoa tamko la kumpongeza mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitishwa tena kugombea urais kwa awamu nyingine tena. Na James Mwakyembe Kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania jumuiya…
12 June 2025, 17:20
Kyela:Mwakyambile atunukiwa cheti wazazi ccm wakubali mziki
Mkugenzi wa kiwanda cha kuzarisha mafuta ya kula hapa wilayani kyela amechangia saruji na mbao katika ujenzi wa nyumba ya katibu wa wazazi wilaya ya Kyela. Na James Mwakyembe Mdau wa maendeleo na mkurugenzi wa kiwanda cha mafuta ya kula…
10 June 2025, 18:06
AMCOS 37 zagawiwa mizani, vipima unyevu 40
“Nilipata mashaka kupitisha makato ya shilingi hamsini kwa kila kilo nikihofia kuwa je zitaleta faida?” Na Nsangatii Mwakipesile Mkuu wa mkoa wa mbeya Juma Homera ameshiriki zoezi la kukabidhi vipima unyevu wa Kakao kwa AMCOS 37 hapa wilayani kyela katika…
30 May 2025, 15:53
Faida ya radio mtandao kwa wanahabari
Wandishi wa habari kutoka mikoa mbalimbali wamekumbushwa kuzingatia misingi na weledi katika kuandika habari zenye tija na kuziweka kwenye mtandao wa radio portal ili kuwafikia wasikilizaji nje ya mikoa yao Na Emmanuel Jotham Wandishi wa Habari wa Radio wametakiwa kutumia…
26 May 2025, 13:15
Kyela: Wafanya kazi wanao jitolea Tanesco wapewa zawadi
“Wafanya kazi walio pewa zawadi ni wale wa mkataba wa muda mfupi,ambao wamekuwaa na mchango mkubwa kwenye shirika katika kufanikisha ufanisi wake” meneja wa tanesco wilaya Na Emmanuel Jotham Shirika la umeme Tanesco wilaya ya kyela limetoa zawadi mbalimbali kwa…