Recent posts
03/03/2026, 14:39
Kyela:Daktari mmbobevu wa mazingira apatikana
“Kwenye jambo hili huu ni mwarobaini wa uchafuzi wa mazingira, tutakomesha kabisa upatikanaji wa taka ngumu katika mji wetu wa Kyela”. Na James Mwakyembe Ili kukabiliana na kadhia ya uchafu wa mazingira ya mji wa Kyela mtambo wa kubana na…
17/02/2026, 16:56
Kyela: Rupia ilivyomkosesha ubunge Ruhundwa
“Sitarajii kurudi tena kwenye siasa, maana siasa ni uongo na ukweli” Na James Mwakyembe Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya ubunge jimbo la Ngara mkoani Kagera Hilali Ruhundwa katika uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29 mwaka jana, amezungumza kwa…
06/02/2026, 17:57
Walimu Keifo walishwa keki na wahitimu
Katika tukio lisilo la kawaida wahitimu wa kujitegemea katika Shule ya Sekondari Keifo wameamua kununua keki na soda na kuwapelekea walimu kwa ajili ya kuwapongeza baada ya kuwawezesha kupata ufaulu mzuri katika masomo yao. Na Emmanuel Jotham Wahitimu wa kujitegema…
05/02/2026, 14:08
Atupwa jela kwa ubakaji Kyela
Na Emmanuel Jotham Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemuhukumu Mogela Odian Kipeta, (30) Mkazi wa Kasumulu, Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kujinufaisha kingono alilolitenda dhidi ya mtoto mwenye umri wa miaka…
10/09/2025, 16:03
Mhandisi Kasekenya aanza kampeni za ubunge Ileje
“Ukichagua CCM umechagua afya bora,barabara nzuri,maji salama,elimu na umeme vijijini” Na James Mwakyembe Mamia ya wananchi wamejitokeza katika uzinduzi wa kamapeni za kumnadi mgombea wa ubunge kupitia chama cha Mapinduzi CCM jimbo la Ileje mkoani Songwe Mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya…
30/07/2025, 17:17
Kyela:Tusegelile wawafikia walemavu Kyela Msingi
“tusiwafiche nyumbani watoto wenye ulemavu,wakifundishwa wanaweza kufanya kwa utimamu” Na James Mwakyembe Kikundi cha watu wa Rungwe waishio Kyela Tusegelile Group wametembelea na kutoa misaada ya kiutu kwa watoto wenye uhitaji maalumu katika shule ya msingi kyela, ili kuwafariji na…
20/06/2025, 17:19
Mwakyambile awamwagia fedha UVCCM Kyela
Jumla ya shilingi milioni moja na laki tatu zimekabidhiwa kwa uongozi wa jumuiya ya vijana wilaya ya kyela kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba ya katibu wa jumuiya hiyo. Na James Mwakyembe Siku moja baada ya mdau wa maendeleo na…
19/06/2025, 13:09
Babylon: Hakuna kulala mzigo wakabidhiwa
Jumla ya Mbao miamoja na arobaini zimekabidhiwa kwa jumuiya ya wazazi ili kukamilisha ujenzi wa nyumba ya katibu Na James Mwakyembe Hatimaye mdau wa maendeleo na mkurugenzi wa kiwanda cha mafuta ya kula Covenant Edible Oil Babylon Mwakyambile wake wa…
19/06/2025, 12:37
Mwahula: Nilitoroka nyumbani miaka miwili
Jamii wilayani Kyela imetakiwa kuacha tabia ya kuwafungia watoto wenye ulemavu ndani na kuwanyima haki zao za msingi. Na James Mwakyembe Kutana na Siza Mwahula mlemavu wa viungo ambaye anasimulia maisha yake jinsi alivyoondokana na utegemezi kwa familia na hata…
13/06/2025, 17:09
Jumuiya wazazi Kyela yampiga jeki Rais Samia
Jumuiya ya wazazi wilaya ya Kyela imetoa tamko la kumpongeza mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitishwa tena kugombea urais kwa awamu nyingine tena. Na James Mwakyembe Kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania jumuiya…