Recent posts
24 July 2026, 2:40 pm
NGO’s Kahama zatakiwa kufanya kazi kwa uwazi
”Iwe mnafanya shughuli zenu kwa ufadhili ama kujitolea mnapaswa kuwa wazi na kutoa taariifa kwa serikali na hiyo ni kwa mujibu wa sheria” Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanayofanya kazi katika Wilaya ya Kahama yamehimizwa kutekeleza shughuli zake kwa uwazi…
22 July 2026, 1:51 am
Wafanyabiashara Kahama tumieni Mfumo wa IDRAS
‘‘Wafanyabiashara tumieni mfumo wa IDRAS kulipa kodi na kujua taarifa mbalimbal zinazopatikana kupitia mfumo huo’’ Na Mwandishi wetu Wafanyabiashara wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kutumia mfumo jumuishi wa usimamizi wa kodi wa ndani (IDRAS) ili kurahisha ulipaji wa kodi kwa…
20 July 2026, 11:37 pm
ASP Katumbo: Acheni kujaza mafuta kwenye gari likiwa na abiria
‘‘Dereva atakaye jaza mafuta na abiria wakiwa ndani ya gari atapatiwa adhabu’’ Baadhi ya madereva wa magari ya abiria wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuzingatia kanuni za usalama katika vituo vya mafuta kwa kuhahikisha hawajazi mafuta wakiwa na abiria ndani…
17 July 2026, 4:45 pm
Barabara za lami Kahama zaanza kujengwa
‘‘Kwa sasa serikali imechukua mkandalasi mpya mwenye uwezo wa kukamilisha mradi huo kwa wakati’’ Mbunge wa jimbo la Kahama Mjini mkoani Shinyanga Benjamini Ngayiwa, amewahidi wananchi wa Manispaa Kahama ya kuwa ifikapo January 2027 ujenzi wa barabara ya kiwango cha…
13 July 2026, 5:40 pm
Kahama ya kidijitali yanukia
‘‘Kukamilika kwa Mpango Kabambe wa Kidijitali itasaidia kuondoa makazi holela katka Manispaa ya Kahama’’ Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imetakiwa kuendelea kutoa ushirikiano katika kutekeleza mradi wa Mpango Kabambe wa Kidigitali na msimamizi wa mradi, unaotarajiwa kutekelezwa katika…
9 July 2026, 10:37 am
RC Mhita aiomba ofisi ya CAG kufanya ukaguzi maalum Msalala
‘‘Hatua hiyo ni muhimu ili kubaini ukweli kuhusu matumizi ya fedha za umma na kuhakikisha uwajibikaji unazingatiwa katika usimamizi wa rasilimali za wananchi’’ Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, ameiomba Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za…
8 July 2026, 12:46 pm
Madiwani Ushetu waomba magari mabovu kutengenezwa
”Orodhesheni magari mabovu yote pamoja na gharama zake ili yatengenezwe na kuanza kufanyakazi” Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba halmashauri hiyo, kuorodheshwa kwa magari mabovu na gharaza za utengenezaji ili kuweza kufanya matengenezo na kuanza kutumika.…
7 July 2026, 7:02 pm
Hubirini waumini kufanyakazi kujikwamua kiuchumi-Mch. Dkt. Gwamiye
‘‘Katika vitabu mbalimbali vya dini vimesisitiza juu ya watu kufanyakazi’’ Waumini wa dini ya kikristo wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameshauri kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi na kufanyakazi ili kuongeza vipato vyao na kujikwamua kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa na Mchungaji…
7 July 2026, 4:36 pm
RC Mhita, Marufuku kupokea dawa zenye muda wa chini ya miezi 12
‘‘Baadhi ya dawa kuharibika kwa muda mfupi, hilo hatuta kubali na badala yake pokeeni dawa zenye muda wake juu ya miezi 12’’ Halmashauri zote za mkoa wa Shinyanga zimeagizwa kutokupokea dawa za matumizi ya binadamu zenye muda wa matumizi uliobaki…
2 July 2026, 3:04 pm
Miaka 30 ya TRA, wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari bila shuruti
‘‘Wafanyabiashara na wajasiliamali lipeni kodi kwa hiari ili kuleta maendeleo ya nchi yetu” Mkuu wa wilaya ya Kahama, Frank Nkinda ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa kikodi Kahama kwa uendelea kushirikiana vyema na wafanyabiasha na wajasiliamali hali inayosababisha…
