Mufindi FM
107.3 MHz
Mafinga Iringa
0672422377
mufindifm107@gmail.com
https://www.mufindifm.co.tz/?m=1
107.3 MHz
Mafinga Iringa
0672422377
mufindifm107@gmail.com
https://www.mufindifm.co.tz/?m=1
Makundi yaliyo hatarini zaidi nchini yameendelea kukumbwa na changamoto kubwa katika upatikanaji wa huduma muhimu kufuatia athari za mabadiliko ya tabia nchi zinazozidi kushika kasi katika maeneo mbalimbali. Na Marko Msafiri Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kupitia mradi wa “Ustahimilivu…
4 May 2026, 8:07 pm
“Kwenye vyanzo vyangu nimeambiwa upo utaratibu na wengine ni wa serikali, wengine ni wa sekta binafsi, vijana wetu wanafanya kazi na malipo yao hawapewi, ila magari wanabadilisha kila siku, lakini hela za kuwalipa wanyonge hawana “Dkt. Mwigulu Na Marko Msafiri…
28 April 2026, 11:05 am
Pichani ni Fadhil Elisha Mtega na David Michael Lugendo wakazi wa Usokami, wilaya ya Mufindi waliohukumiwa miaka miwili ( Kila mmoja) na Mahakama ya Hakimu mkazi ya wilaya hiyo. Picha na Witness Alex. Kwa mara ya kwanza duniani suala hilo…
14 April 2026, 6:30 pm
Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini Mhe. Dickson Nathan Lutevele (Villa) akiwa na miongoni mwa wanufaikaji wa meza hizo za biashara wakiwa katika soko la Mashujaa lililopo katika mji huo, ikiwa ni jitihada za kuwatengenezea mazingira wezeshi ya ufanyaji wa…
14 April 2026, 11:16 am
Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mufindi wakipewa elimu kuhusu namna ya kushiriki katika soko la awali na la pili la uwekezaji wa dhamana za serikali za muda mrefu na mfupi, yaliyoratibiwa na Benki kuu ya Tanzania (BoT) Kanda ya…
22 March 2026, 6:37 pm
Makundi yaliyo hatarini zaidi nchini yameendelea kukumbwa na changamoto kubwa katika upatikanaji wa huduma muhimu kufuatia athari za mabadiliko ya tabia nchi zinazozidi kushika kasi katika maeneo mbalimbali. Na Marko Msafiri Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kupitia mradi wa “Ustahimilivu…
6 March 2026, 11:00 am
Viongozi wa taasisi ya Nafaka Kilimo wanaotekeleza mradi wa Farm to Market Alliance (FtMA) unaofadhiliwa na shirika la mpango wa chakula duniani (WFP) katika picha ya pamoja na washiriki wa mradi huo ( viongozi wa wakulima, watoa huduma za kilimo,…
26 February 2026, 6:58 pm
Pichani ni Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi wakiwa kwenye kikao cha kupitisha rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kilichofanyika Februari 25, 2026 katika ukumbi wa makao makuu ya halmashauri yaliyopo kijiji cha Itulavanu. Picha…
13 February 2026, 1:44 pm
Pichani ni Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi wakiwa katika kikao wakijadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwa kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2025/2026, kilichofanyika katika makao makuuu ya Halmashauri hiyo yaliyopo kijiji…
3 February 2026, 12:40 pm
Na Christogon Ngoloki Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amevitaka vyombo vya habari kutumia kalamu zao kama nyenzo ya kuelimisha jamii kwa lengo la kuwa na uelewa sahihi kuhusu Bima ya Afya kwa Wote, ili waweze kunufaika kikamilifu na huduma…
3 February 2026, 11:50 am
“Ndugu zangu viongozi turudi katika miongozo ya chama inavyotuongozo ikiwemo kuvaa sare za chama, kuitisha vikao na mikutano“ Bi. Mkini Na Marko Msafiri. Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) wilaya ya Mufindi, imewataka viongozi wa jumuiya…
MUFINDI FM MAFINGA 107.3
Mufindi FM Redio 107.3 Mafinga ni Redio iliyo Chini ya Kampuni ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani iringa inayojulikana Kwa Jina la Mufindi Media Cooperation Company LTD. Mufindi FM Redio Ilianzishwa Mwaka 2021, Redio Isikilizwa Katika Mikoa ya Iringa na Njombe, Pamoja na Baadhi ya Wilaya Katika Mikoa ya Morogoro, Mbeya na Ruvuma.