Mufindi FM

Mwanafunzi wa darasa la nne ajinyonga marishoni Mufindi

6 June 2024, 10:12 am

Yusta Lazaro mama mzazi wa marehemu akifarijiwa na ndugu wakati wakielekea makaburini kuzika mwili wa mwanae Emmanuel Mwepelwa.Picha Jumanne Bulali

Na Jumanne Bulali

Mufindi

Emmanuel Mikael Mwepelwa mwenye umuri wa miaka 10, Mwanafunzi wa shule ya msingi Njojo kata ya Nyololo wilayani Mufindi mkoani Iringa, amesadikika kufariki dunia kwa kujinyonga, sababu zikiwa hazijulikani hadi sasa.

Kwa Undani Wa Habarii Tuungane Na Mwandishi Wetu Jumanne Bulali.

Ripoti ya Jumanne Bulali