Mufindi FM
107.3 MHz
Mafinga Iringa
0672422377
mufindifm107@gmail.com
https://www.mufindifm.co.tz/?m=1
107.3 MHz
Mafinga Iringa
0672422377
mufindifm107@gmail.com
https://www.mufindifm.co.tz/?m=1
na Jumane Bulali Mufindi FM Radio 107.3 imeshika nafasi ya tatu Kwa kulipa Kodi Kwa wakati na kwa usahihi Kwa upande wa Vyombo vya Habari vya Mkoa wa Iringa. Mufindi FM imepewa tunzo hiyo maalumu baada ya kutambuliwa na Mamlaka…
13 February 2026, 13:44
Pichani ni Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi wakiwa katika kikao wakijadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwa kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2025/2026, kilichofanyika katika makao makuuu ya Halmashauri hiyo yaliyopo kijiji…
3 February 2026, 12:40
Na Christogon Ngoloki Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amevitaka vyombo vya habari kutumia kalamu zao kama nyenzo ya kuelimisha jamii kwa lengo la kuwa na uelewa sahihi kuhusu Bima ya Afya kwa Wote, ili waweze kunufaika kikamilifu na huduma…
3 February 2026, 11:50
“Ndugu zangu viongozi turudi katika miongozo ya chama inavyotuongozo ikiwemo kuvaa sare za chama, kuitisha vikao na mikutano“ Bi. Mkini Na Marko Msafiri. Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) wilaya ya Mufindi, imewataka viongozi wa jumuiya…
3 February 2026, 10:43
“Viuatilifu ni sumu, vinapaswa vitumike kwa uangalifu” Mtoka Na Jackson Machowa. Wakulima Nyanda za Juu Kusini wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya viuatilifu katika kipindi chote cha kilimo ili kujihakikishia wingi na ubora wa mazao shambani. Wito huo umetolewa kufuatia shughuli…
16 January 2026, 15:51
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James akipokea maelezo kutoka kwa Mhandisi wa wilaya ya Mufindi ndg. Said Kachenje kuhusu ujenzi wa madarasa katika shule mpya ya awali msingi na sekondari Mufindi katika ziara aliyoifanya wilayani humo.Picha na Isaack…
2 August 2025, 11:51
Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini anayemaliza muda wake na mgombea anayetetea nafasi hiyo, Cosato David Chumi akinadi sera kwa wajumbe ili waendelea kumpa ridhaa ya kushirikiana naye katika kuleta maendeleo kwa wanamafinga, ikumbukwe kuwa Chumi ni miongoni mwa wagombea…
15 July 2025, 19:02
Zamani matukio ya ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto yalikuwepo, lakini yalikuwa hayaripotiwi kwa uwazi au kwa kiwango kikubwa kama ilivyo sasa. Hali hii ilisababishwa na utamaduni wa kumaliza kindugu, uoga au aibu, kutokuwa na mifumo rafiki ya…
14 July 2025, 12:25
Kujitoa kwa jamii ni kitendo cha kiugwana kinachoonyesha upevu wa kimaadili na upendo wa kweli. Ni tendo ambalo lina nguvu ya kubadilisha maisha ya watu, kuvunja mnyororo wa mateso na kuleta tumaini mahali palipojaa giza. Na Marko Msafiri Katika kuadhimisha…
14 July 2025, 11:59
Hapo awali wazalishaji wa mbegu walikumbana na changamoto mbalimbali zikwemo ukosefu wa elimu ya kiufundi, kutokuwa na uthibitisho rasmi, usambazaji holela na kukosa kuelewa mahitaji ya wakulima. Na Marko Msafiri Wakala wa Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) umeuhakikishia…
21 June 2025, 22:19
Pichani ni Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba akiwa katika kikao cha kuvunjwa kwa baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Mufindi lililofanyika jana Juni 20, 2025. Picha na Mwanaidi Ngatala. kuvunjwa kwa Mabaraza ya madiwani nchini ni…
MUFINDI FM MAFINGA 107.3
Mufindi FM Redio 107.3 Mafinga ni Redio iliyo Chini ya Kampuni ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani iringa inayojulikana Kwa Jina la Mufindi Media Cooperation Company LTD. Mufindi FM Redio Ilianzishwa Mwaka 2021, Redio Isikilizwa Katika Mikoa ya Iringa na Njombe, Pamoja na Baadhi ya Wilaya Katika Mikoa ya Morogoro, Mbeya na Ruvuma.