Radio Jamii Kilosa

Recent posts

17 March 2021, 11:57 am

Zaidi ya wanafunzi 2700 kupewa elimu ya Kinywa Kilosa -Dk Kibula.

Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro kupitia idara ya afya wanatarajia kutoa elimu ya afya ya Kinywa na meno pamoja na vifaa vya kushafishia Kinywa kwa wanafuzi 2721 kwa ajili ya kujikinga na magonjwa mbalimbali ya Kimywa na meno.…

16 March 2021, 11:44 am

Bilion 1.27 kumaliza tatizo la maji kilosa-Injinia Chum.

Zaidi ya bilion 1.27 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maji  safi na salama Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro ili wananchi waweze kupata huduma ya maji  saa 24  kwa mwaka . Hayo yamesemwa machi 16 2021 na Meneja  wakala wa maji na…

13 March 2021, 4:30 am

Watoto wanaishi katika mazingira magumu walia na Serikali -Kilosa

Watoto wanaishi katika mazingira magumu walioko Kata ya magomeni Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro amba wanafahamika kwa jina la Magomeni Children Development Machide wamomba serikali na wadau mbalimba kuwatazama katika jicho la huruma ili kuwasaidia kutatua changamoto mbalimbali zinazo wakabili katika…

11 March 2021, 7:52 pm

Halmashauri ongezeni nguvu katika sekta ya kilimo-DC Mgoyi.

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ametoa rai kwa Halmashauri ya Wilaya ya  Kilosa kutambua kuwa Wilaya ya Kilosa ni wilaya ya kilimo iliyojaa mito yenye maji ya kutosha hivyo ni vema wilaya ikajikita zaidi katika uzalishaji ili kupata…

4 March 2021, 9:51 am

Jamii yasisitizwa kuendelea kuchukua tahadhari .

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ameonyesha kuridhishwa kwake na utendaji kazi wa kitengo kinachosimamia utekelezaji wa afua mbalimbali katika kitengo cha magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa namna ambavyo kimekuwa kikifanya majukumu yake na kutoa mrejesho chanya katika utekelezaji…

13 February 2021, 5:28 pm

Wafanyabiashara waridhia tozo ya shilingi 50,000.

Wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa vilivyoko katika kata ya Kasiki maeneo ya uhindini wamekubali kulipa tozo ya shilingi 50,000 kwa mwezi kwa kibanda hadi hapo vitakapofanyika vikao vya kisheria mara baada ya mwaka wa…

10 February 2021, 2:13 pm

Wafanya biashara watakiwa kufungua maduka.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Kilosa Asajile Lucas Mwambambale ametoa rai kwa wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vya biashara vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa vilivyopo katika kata ya Kasiki waliofunga maduka kufungua maduka hayo ili wananchi waendelee…

MISSION AND VISSION

Tembelea ukurasa wetu