Radio Fadhila
Radio Fadhila
12 January 2021, 02:57
Diwani wa kata ya Mijelejele Iliyopo Halmashauri ya Wilaya Masasi Ndg Juma pole amezindua zoezi la upandaji miti katika kata hio iliyoambatana na kauli mbiu isemayo Mti wangu uhai wangu.Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na Afisa Misitu Wilaya Masasi Ndg Kelvin…
11 January 2021, 04:23
11 January 2021, 04:07
KIKAO cha Kamati ya Ushauri Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara ( DCC) kimeketi kwa ajili kujadili utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo imetekelezwa kwa kipindi cha mwaka wa fedha, 2020/ 2021 ikiwa ni kikao cha kwanza kwa mwaka 2021 Aidha,…
8 January 2021, 04:43
Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil mwambe amefanya ziara katika Jimbo lake na kutembelea Jumuiya mbali mbali za maji na kufanya nazo mkutano wenye lengo la kuboresha Shuguli wanazozifanya ili ziweze kufahamika kikatiba . Katika ziara hio aliambatana na Meneja…
31 December 2020, 04:03
Je ni wakati gani mwanamke anatakiwa kuhisi kuwa anapata hedhi kupita kiasi? Unapata hedhi inayozidi siku 7 Unapata hedhi nzito inayofanya ubadiri pedi moja ndani ya masaa mawili Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuvaa pedi zaidi ya moja Unapata hedhi nzito inayolowesha hadi nguo za…
31 December 2020, 03:29
Chanzo-Hamisi Abdelehemani Nasiri
17 December 2020, 11:19
WATUMISHI wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wametakiwa kutumia utaalamu wao ili kuisaidia Halmashauri hiyo kuweza kupiga hatua ya kimaendeleo, ikiwemo kubuni vyanzo vipya vya mapato Aidha, watumishi hao wametakiwa kuacha kufanya kazi kwa mazoea badala yake wajikite…
17 December 2020, 11:12
13 December 2020, 06:10
Mkutano uliowahusisha Wazazi na wanajamii katika shule ya msingi Mpindimbi iliyopo wilayani Masasi kwa lengo kujadili mambo ya maendeleo ya katika shule hiyo Katika mkutano huo pia ilihusisha zoezi la harahambee ya kuchangia ili kukamilisha ujenzi wa ofisi ukarabati wa…
11 December 2020, 08:34
Msikilize athumani miranzi ni moja ya wasanii wa sanaa ya uchoraji kwa kutumia rangi amefanya kazi nyingi 9AMECHORA PICHA NYINGI na kuziuza inje ya nchi ni mwanasanaa anaetokea kusini pia moja ya kazi zake alizo wa hi kuzifanya utazitazama hapa…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara