Zenj FM

WaTanzania wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini

8 December 2021, 2:37 pm

Na Mary Kitipwi na Thuwaiba Mohd:Watanzania wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini ili kukuza biashara Tanzania na kufikia uchumi wa viwanda.

Akizungumza na zenj fm mjasiriamali wa kusarifu Spice mbali mbali kutoka Fuoni kisiwani Unguja Fatma Mohd Fadhili  amesema ni vyema wanzanzibar wakatumia bidhaa zinazozalishwa nchini kwani zinaubora zaidi kuliko bidhaa kutoka nchi za nje.

Aidha mjasiriamali huyo amezungumzia changamoto wanayokumbana nayo katika ujasiriamali wao ikiwemo swala la vifungashio ,hivyo  ameiomba Serikali kuweka viwanda  vya kutengenezea vifungashio vya biidhaa zao ili kuepusha usumbufu wa kufata vifungashio nje ya Tanzania.

Sauti ya mjasiriamali Fatma Mohd Fadhili