Zenj FM

Maendeleo

17 April 2024, 4:46 pm

Uzio sababu ya utoro skuli ya Mguteni

Na Rahma Hassan. Uongozi wa Skuli ya Mguteni shahia ya Mbuyu Mtende wilaya ya Kaskazini wanaiomba serikali kulitafutia ufumbuzi suala la uzio katika skuli yao ili kuepusha kutoroka kwa wanafunzi hususani karibu na kipindi cha mitihani.  Wakizungumza na Zenji FM…

15 April 2024, 4:37 pm

Mrajis Zanzibar awakumbusha SHIJUWAZA kuchagua viongozi bora

Na Mary Julius. Shirikisho la Jumuiya za watu wenye ulemavu limesajiliwa rasmi mwaka 2014 mpaka sasa  linawanachama 12. Mrajisi Asasi za Kiraia Zanzibar Ahmed Khalid Abdulla amewataka  viongozi wa shirikisho la jumuiya ya watu wenye ulemavu Zanzibar (SHIJUWAZA) watakao chaguliwa…

7 April 2024, 6:27 pm

Mratibu vikoba Unguja awataka wanawake kuchukua mikopo kwa malengo

Na Mary Julius. Mratibu wa vikoba Unguja Catherine Marco Ifanda amewataka akinamama wanaojiunga kwenye vikundi vya vikoba kuchukua mikopo kwa malengo ya kujiendeleza.   Mratibu ameyasema hayo katika sherehe ya kuvunja  kikoba cha St Joseph Mamas  hafla iliyofanyika katika ukimbi wa…

30 March 2024, 6:06 pm

Mbunge Pondeza ahimiza kusaidia wasiojiweza

Na Suleiman Mbunge wa jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza  amezitaka taasisi na wahisani kutoa sadaka katika mwezi mtukufu wa ramadhan na kuwasaidia wasiokuwa na uwezo ili kujipatia fadhila zinazopatikana katika mwezi huo. Mbunge Pondeza ameyasema hayo mara baada ya…

19 March 2024, 4:30 pm

Taasisi za kiraia,Pemba zamwaga neema kwa wananchi

Na Is-haka Mohammed. Meya wa Manispaa ya Chake Chake Abdalla Hamad Abdalla amesema kazi za utoaji wa misaada na sadaka zinazofanywa na taasisi mbali mbali za kiraia zinaisaidia serikali kutatua changamoto zilizopo katika jamii. Meya ameyasema hayo katika hafla ya …

13 March 2024, 5:04 pm

Jamii yahimizwa kusaidia makundi maalum

Jamii nchini  imehimizwa  kuutumia mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kukithirisha kufanya ibada kwa kusaidia mahitaji  katika makundi mbalimbali ya  kijamii ikiwemo elimu ili kupata radhi za Mwenyezi Mungu. Akizungumza mara baada ya kukabidhi mapolo ya vyakula vyenye thamani ya zaidi ya shiling…

7 March 2024, 3:58 pm

Siku ya wanawake yaadhimishwa kwa kufanya usafi Zanzibar

“Endapo mwanamke atakuwa imara katika majukumu ya kila siku ataweza kuleta maendeleo makubwa katika jamii na nchi kwa ujumla”. Na.Mary Julius Wanawake wa Wilaya ya Kati Zanzibar wameshauriwa kuwa viongozi bora katika maeneo yao ya kazi pamoja na familia zao…