Zenj FM

Maendeleo

15 April 2024, 4:37 pm

Mrajis Zanzibar awakumbusha SHIJUWAZA kuchagua viongozi bora

Na Mary Julius. Shirikisho la Jumuiya za watu wenye ulemavu limesajiliwa rasmi mwaka 2014 mpaka sasa  linawanachama 12. Mrajisi Asasi za Kiraia Zanzibar Ahmed Khalid Abdulla amewataka  viongozi wa shirikisho la jumuiya ya watu wenye ulemavu Zanzibar (SHIJUWAZA) watakao chaguliwa…

7 April 2024, 6:27 pm

Mratibu vikoba Unguja awataka wanawake kuchukua mikopo kwa malengo

Na Mary Julius. Mratibu wa vikoba Unguja Catherine Marco Ifanda amewataka akinamama wanaojiunga kwenye vikundi vya vikoba kuchukua mikopo kwa malengo ya kujiendeleza.   Mratibu ameyasema hayo katika sherehe ya kuvunja  kikoba cha St Joseph Mamas  hafla iliyofanyika katika ukimbi wa…

19 March 2024, 4:30 pm

Taasisi za kiraia,Pemba zamwaga neema kwa wananchi

Na Is-haka Mohammed. Meya wa Manispaa ya Chake Chake Abdalla Hamad Abdalla amesema kazi za utoaji wa misaada na sadaka zinazofanywa na taasisi mbali mbali za kiraia zinaisaidia serikali kutatua changamoto zilizopo katika jamii. Meya ameyasema hayo katika hafla ya …

8 December 2021, 2:37 pm

WaTanzania wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini

Na Mary Kitipwi na Thuwaiba Mohd:Watanzania wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini ili kukuza biashara Tanzania na kufikia uchumi wa viwanda. Akizungumza na zenj fm mjasiriamali wa kusarifu Spice mbali mbali kutoka Fuoni kisiwani Unguja Fatma Mohd Fadhili  amesema ni vyema…

24 November 2021, 1:26 pm

Madereva wa daladala watakiwa kutoingia na abiria sheli

Na Thuwaiba Mohd: Afisa  uhusiano wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za maji na nisharti Zanzibar ZURA Hassan Juma Amour amewataka wasimamizi wa vituo vya  mafuta sheli kutoruhusu mtowa huduma kujaza mafuta kwenye gari ikiwa na abiria ili kuepusha  athari…

17 November 2021, 1:45 pm

Walokosa kuingizwa kaya maskini watakiwa kukata rufaa.

Na Mary Kitipwi:Mratibu wa mpango wa kunusuru kaya masikini unguja TASAF Makame Ali Haji amesema serikali ya mapinduzi imetoa nafasi kwa wale wote wenye sifa za kuingizwa katika maradi wa kaya maskini ambao majina ya yamekatwa katika awamu ya kwanza…