Radio Jamii Kilosa
Radio Jamii Kilosa
16 April 2023, 18:28
Wananchi waaswa kuwa na karibu na watoto ili kuwafundisha maadili mema ambayo yatawasaidia kujihusisha na matendo maovu ikiwemo ushoga ambao umeikumba dunia kwa sasa. “Dunia kwa sasa imegubikwa na ushoga vijana wengi wengi wanaingia kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja…
12 April 2023, 09:29
Serikali imewakabidhi pikipiki maafisa ugani wote wilayani Kilosa ili kuondokana na adha walioyokuwa wanaipata ya usafiri na kushindwa kuwafikia wakulima wengi kwenye mashamba yao na kutatua changamoto. “Tunaishukuru serikali kwa kuiona kwa jicho la pekee wizara yetu ya kilimo kwa…
10 April 2023, 13:37
Waliotajwa katika ripoti ya CAG watakiwa kuachia ngazi za madaraka walizonazo kutokana na ubadhirifu walioufanya kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. “Serikali imepata hasara kubwa kutokana na watumishi wenye nia ovu na kama Rais alishasema wapishe, kama chama cha mapinduzi…
8 April 2023, 22:40
Serikali ikiwa katika kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa imeamua kuanzisha majaribio ya mashamba ya malisho ili kunusuru mifugo kuchungiwa kwenye mashamba ya mazao. “Tabia ya wafugaji kuingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima imekua ni mazoea kwa kuwa…
7 April 2023, 13:07
Adha wanayoipata kwa sasa wanafunzi wa shule ya msingi Mambegwa ni kukaa chini pamoja na kusomea kwenye majengo ya muda yaliyojengwa na wananchi baada ya majengo ya kudumu ya shule hiyo kusombwa na maji. Na Asha Madohola Hatimaye kijiji cha…
6 April 2023, 16:16
Wananchi wa kitongoji cha Karadasi kilichopo kijiji cha Mambegwa kata ya Msowero wilayani Kilosa wameiomba serikali kuwaletea chakula cha msaada ambacho watakinunua kwa gharama nafuu. “Hali ya ukame imekua tishio la baa la njaa kijijini hapa mazao yote yamekauka na…
6 April 2023, 11:08
Ujenzi wa shule ya msingi Tambukareli iliyopo jimbo la Mikumi wilayani Kilosa umetatua changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufika shule kitendo kilichokuwa hatarishi kwa usalama wao pindi wawapo njia ambapo iliwalazimu kuvuka barabara kuu ili kuifuata shule ilipo. “Tunaishukuru…
28 March 2023, 15:23
Wafanyabiashara wilayani Kilosa kuanza kunufaika na matumizi ya mfumo wa Tausi ambao utawarahisishia upatikanaji wa leseni kwa haraka. “Mfumo huo unaweza kutumika kupitia simu janja kwa mfanyabiashara na ili kufanikisha kutumia mfumo huo mfanyabiashara atatakiwa kuwa na namba ya NIDA…
12 March 2023, 09:30
Katika kutambua fursa za miradi ya maendeleo wilayani Kilosa serikali imeahaidi kuunga mkono jitihada zitazofanywa na wananchi. “Serikali imejipanga kuhakikisha inaendeleza miradi ya maendeleo pamoja na kuwalinda wananchi na mali zao”. Na Asha Mado Wananchi wametakiwa kutambua jitihada mbalimbali ambazo…
11 March 2023, 18:05
Katika kurahisisha utendaji kazi wa kuyafikia maeneo yote yaliyopo katika kata serikali imewapatia maafisa watendaji kata pikipiki ambazo zitawasaidia kuwafikisha maeneo ambayo walikua hawayafikii kiurahisi kutokana na umbali uliopo. Awali viongozi wa kata walikua wanakabiliwa na changamoto ya usafiri kwa…
Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu